Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Alternative you can download MAXTHON browser. Have best intergrated download manager to download youtube videos, No need of IDM or any other download manager.
 
tafuta google software inaitwa freecorder. ukiplay tu video yenyewe inadownload automatically
 
Habari zenu wadau?
Naomba msaada wenu.
Ni nani au ni wapi naweza kusaidiwa hili?
Nataka ku-copy video kadhaa (clips, full videos n.k) toka kwenye youtube (zinazohusika na masuala ya afya)
Nahitaji zingine ziwe all alone(kila DVD iwe na video yake), zingine ziwe zaidi ya moja kwenye DVD moja na pia nihifadhi katika memory stick.
Cost is nothing provided that it is REASONABLE!

Who will help me? Trh 19 hadi trh 30 April nitakuwa Dar.
 
Kama nimekuelewa vizuri nahisi unataka kudownload kutoka kwenye youtube nakushauri utumie orbit downloader naona ni nzuri kwa shughuli kama hizi.Ila kama unacopy kupeleka kwenye youtube wasubiri wataalamu zaidi
 
Kama nimekuelewa vizuri nahisi unataka kudownload kutoka kwenye youtube nakushauri utumie orbit downloader naona ni nzuri kwa shughuli kama hizi.Ila kama unacopy kupeleka kwenye youtube wasubiri wataalamu zaidi

Ngoja nijaribu
 
Kama na hii itakusaidia...
Kwenye clip/video unayoitaka toka Youtube nk, copy ile 'url address' yake, kisha fungua website hii 'www.savevid.com'. Ikifunguka kuna mahali wameweka 'space' ya ku-paste 'url address', i paste ile address then click download (ipo adjacent na hapo ulipo paste url add.). Watakwambia u-idownload hiyo 'savevid' kwanza, so utaidownload hiyo, then itaendelea kudownload ile video clip yako. Next clip ni kucopy url na kuipaste kule kwenye savevid kisha unadownload kiulainiii. Mi huwa naitumia hii sana, ni nzuri kwani inakupa na several options za formats kwa kusave hiyo video yako.
Hope nimesomeka, natumia simu, ningeweka hiyo link. But it's very easy!
 
Kaka kuna msaada mwingine Kama lengo lako ni kudownload video .Ingia cnet.com,search na download kaprogram kanakoitwa 'youtubedownloder' ukikapata kafungue.Ingia YouTube search video unayoitaka kopi URL ya hiyo video ukifungua tu hako Ka program hako URL itaikopi automatically hiyo URL kisha command Download then you have it
 
One installation for all freeware



Free Studio


Available languages

us.gif
uk.gif
de.gif
fr.gif
es.gif
cn.gif
jp.gif
it.gif
nl.gif
pl.gif
br.gif
pt.gif
ru.gif



Download now
Size: 66.11 Mb,
Version:
5.4.7

Download via torrent
Size: 66.11 Mb,
Version:
5.4.7






Requirements
Windows XP SP3, Vista, Windows 7 and .Net Framework 2 SP2

Description
Free Studio is an all-in-one package bundling all free multimedia applications developed by DVDVideoSoft. Free Studio Manager has 8 sections for easy access to any application: YouTube programs; MP3 and Audio; CD, DVD and BD; DVD and Video; Photo and Images; Mobiles; Apple Devices; and 3D programs.
With this free software you can easily:
- convert video and audio files between different formats as well as iPod, PSP, iPhone, BlackBerry and all other popular mobile phones and devices;
- burn and rip DVDs and audio CDs;
- upload and download YouTube videos and music to your computer, iPod, PSP, iPhone or BlackBerry;
- perform basic editing of audio and video files;
- record videos and make snapshots;
- create 3D videos and images.
Free Studio does not contain spyware or adware. It's absolutely free and completely safe to install and run.
Free Studio contains 47 freeware
Free YouTube Download
Free YouTube to MP3 Converter
Free YouTube to iPod and PSP Converter
Free YouTube to iPhone Converter
Free YouTube to DVD Converter
Free YouTube Uploader
Free Uploader for Facebook

Free Video to Android Converter
Free Video to Apple TV Converter
Free Video to BlackBerry Converter
Free Video to HTC Phones Converter
Free Video to iPad Converter
Free Video to iPod Converter
Free Video to iPhone Converter
Free Video to LG Phones Converter
Free Video to Motorola Phones Converter
Free Video to Nintendo Converter
Free Video to Nokia Phones Converter
Free Video to Samsung Phones Converter
Free Video to Sony Phones Converter
Free Video to Sony Playstation Converter
Free Video to Sony PSP Converter
Free Video to Xbox Converter
Free Video to Tablet PC Converter

Free DVD Video Converter
Free Video to DVD Converter
Free Video to Flash Converter
Free 3GP Video converter
Free Video to MP3 Converter
Free Video to JPG Converter
Free Audio Converter
Free Audio to Flash Converter
Free WebM Video Converter
Free MP4 Video Converter
Free AVI Video Converter

Free DVD Video Burner
Free Disc Burner
Free Audio CD Burner
Free Audio CD to MP3 Converter

Free Screen Video Recorder
Free Image Convert and Resize
Free Video Dub
Free Audio Dub
Free Video Flip and Rotate

Free 3D Photo Maker
Free 3D Video Maker

Free software: video converter, ipod converter, mp4 converter



 
wakuu siku za hivi karibuni kila nikidownload video inakuwa na 1.65mb na baadaye haioneshi chochote. Je kuna setting yeyote natakiwa kufanya au ni wao wameamua kulimit video zao?
 
Download savevid software then install, nenda youtube ukishapata link unachotaka kudownload icopy then paste pale savevid then download
 
Download IDM software ukishainstall then iplay hyo video,ukishaplay kwa chini itakuja download video utaclick then itajisave kwenye download(video)
 
Hayo mawazo ya hapo juu yote achana nayo,Instal Mozila firefox 3.63 ndio the best au hata vision nyingine yake,then instal SPEEDBIT VIDEO DOWNLOADER itakwenda ku jiattach na mozila,ingiza YouTube - Broadcast Yourself. ktk mozila URL,Ukisearch video unayoitaka na kuiplay itakuja option pembeni,me na download mpaka najaza disc yangu sasa.
 
kama mjuavyo kudownload video youtube imekuwa sio rahisi kwa wengi wetu, especialy kwa watumiaji wa simu sana sana Operamini.
nwys katika pita pita yangu nimepata ki2 hki mfano:
unataka kudownload video kwa simu unachagua video then kwa juu utaona link yake huwa:
kwasimu
m.youtube.com/watch?v=wgj_a
kwa PC
www.youtube.com/watch?v=wgj_a
unacho kifanya ni kuondoa hyo m. Au kwa Pc www. Hapo mbele then unaweka ss kwahyo link inakuwa kama
ssyoutube.com/watch?v=wgj_a then unafungua tena hyo page utaona quality mbalimbali zimeandkwa kama
360p
480p
720p
1080p
hii inategemeana na video yako chagua unayotaka then click kwenye hzo quality. Ki2 itaanza kudownload,

kwa Pc pia kuna
www.tubegrip.com
ambayo unapaste link yote ya video kwenye space ambayo imeandkwa enter Url then click download


...................have fun..........
 
kama mjuavyo kudownload video youtube imekuwa sio rahisi kwa wengi wetu, especialy kwa watumiaji wa simu sana sana Operamini.
nwys katika pita pita yangu nimepata ki2 hki mfano:
unataka kudownload video kwa simu unachagua video then kwa juu utaona link yake huwa:
kwasimu
m.youtube.com/watch?v=wgj_a
kwa PC
www.youtube.com/watch?v=wgj_a
unacho kifanya ni kuondoa hyo m. Au kwa Pc www. Hapo mbele then unaweka ss kwahyo link inakuwa kama
ssyoutube.com/watch?v=wgj_a then unafungua tena hyo page utaona quality mbalimbali zimeandkwa kama
360p
480p
720p
1080p
hii inategemeana na video yako chagua unayotaka then click kwenye hzo quality. Ki2 itaanza kudownload,

kwa Pc pia kuna
www.tubegrip.com
ambayo unapaste link yote ya video kwenye space ambayo imeandkwa enter Url then click download


...................have fun..........
Safi sana,ndio umuhimu wa kushare maujunja kama haya!
 
Back
Top Bottom