Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Wanajamvi heshima kwenu!

Navutiwa sana na video mbalimbali kwenye yoube.

Natamani ku-download lakini nashindwa natumia simu ya nokia E5.

Msaada kwa yeyote mwenye uzoefu na hii simu.

Naomba kuwasilisha kwenu wadau!
 
ya mojamoja kwenye simu(nafikiri ni google) mkuu sina uzoefu na hivi vitu.
 
copy url ya hyo video then nenda kaipest ktk hii web ClipConverter Mobile baada ya hapo utaona sehemu kwa mbele imeandikwa continue. Ikishakuwa tayari utachagua format unayotaka. Kuna flv, 3gp, mp4 na nyinginezo.
 
kota juzi nikijaaribu ku'download videos youtube nashindwa ile IDM download dialog box haitokei kabisa nimejaribu browser kama mbili hivi chrome na mozilla ula wapi hakitokei so hili ni tatizo langu au ni kwa wote?
 
Jaribu, kuindoa ktk contro panel kisha uirudishe tena. Au baada ya kupata video ktk web address ondo http//www. kisha weka anza na ss kuangalia kama katika option ya mwisho itakuwepo.
 
Jaribu, kuindoa ktk contro panel kisha uirudishe tena. Au baada ya kupata video ktk web address ondo http//www. kisha weka anza na ss kuangalia kama katika option ya mwisho itakuwepo.
sijakupata mkuu..
 
sijakupata mkuu..

mfano:
www.youtube.com/videos/23521 sasa wewe unachotakiwa kufanya ni kuziondoa hizo www na kuweka ss yaani ss.youtube.com/videos/23521

umeelewa sasa..
 
Nadhani kwenye compu yako hujaweka flash player ,hata mimi ilikuwa hivyo ikabidi kushusha FP
 
remove Idm then install upya tumia firefox browser ni nzur sana..ikamaliza kuistal ifungue idm then hakikisha imetoa msg kua Idm imekua intergrated na firefox then itakuambia close browser zote then restart ukifanya ivo idm itakua ready kwaku-download mana italeta msg yaku accept ad-ons
 
android wemetoa IDM bt its nt bad kujua othr ways maana app za android zinacrush sumtym
thanx
 
Back
Top Bottom