davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 644
- 156
Kazi Nzuri it works well.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
operamini 7.1
ukifikia kwenye ha2a ipi ndo inakwambia invalid address inawezekana unakosea jinsi ya kufuta characters za mwanzo wa link inayohusika
Usijali tunatambua kuwa ulikuwa unaweeka msisitizo wa jina lako (irritant boy ) na kweli mi ulini irritate kinoma,umesameheka kwa kuwa post yako ni ya ukweli.hamna tatizo narudia tena kuwaomba radhi kwa yaliyotokea hapo juu mwanzo
kbs
Usijali tunatambua kuwa ulikuwa unaweeka msisitizo wa jina lako (irritant boy ) na kweli mi ulini irritate kinoma,umesameheka kwa kuwa post yako ni ya ukweli.hamna tatizo narudia tena kuwaomba radhi kwa yaliyotokea hapo juu mwanzo
kbs
nikichagua zile format, either 3gp or mp4. Zote zinaleta hayo maneno
Usijali tunatambua kuwa ulikuwa unaweeka msisitizo wa jina lako (irritant boy ) na kweli mi ulini irritate kinoma,umesameheka kwa kuwa post yako ni ya ukweli.
Msaada sasa ila usiniweke kiporo, simu yangu galaxy S2 I9100, ukijaribu kuiunganisha na WI-FI ina scan vizuri tu lakini inaishia kudispaly on and on maneno"secured,saved....authenticating....connecting..."hapo ndio mwisho wa habari hai connect na wifi wala nini!
c.c CHIEF MKWAWA na werevu wengine wanisaidie.
Natanguliza shukrani !
Habari yenu wana jamvi kumekuwa na tatizo la wa2 kutazama video nzuri youtube na kushindwa jinsi ya kudownload kutokana 2 na cm zao kutosapot youtube downloader apps........sasa twende pamoja ha2a kwa hatua
1.lazima uwe na operamini angalau kuanzia v5 na kuendelea,na uc browser angalau kuanzia v7
2.fungua browser yako nenda sehemu imeandikwa "enter addrec andika" YouTube
3.nenda kwenye searchbox andika jina la video unayoiihitaji kisha bonyeza SEARCH....utaona list ya results bonya video unayohitaj
4.ikifunguka usiibonyeze wala kubonyeza neno WATCH THIS VIDEO...Cha kufanya tembeza kasa(kimshale) yako mpaka juu upande wa kushoto pale ulipoingiza addrec mwanzo......................................inaendelea hapa chini
huwezi kuwa serious kijana
Password naijua na hayo yanatokea pale ninapo ingiza p/word
i want to download and serve in either usb or pc!Youtube.com
i want to download and serve in either usb or pc!
sijui jinsi ya ku-downloading using youtube zaidi kuview tu!kwahiyo tatizo ni nini hasa hata ushindwe ku-save kwenye pc au usb sticky hizo youtube videos, au hujuwi namna ya kuzidownload?