Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

hamna tatizo narudia tena kuwaomba radhi kwa yaliyotokea hapo juu mwanzo
kbs
Usijali tunatambua kuwa ulikuwa unaweeka msisitizo wa jina lako (irritant boy ) na kweli mi ulini irritate kinoma,umesameheka kwa kuwa post yako ni ya ukweli.
Msaada sasa ila usiniweke kiporo, simu yangu galaxy S2 I9100, ukijaribu kuiunganisha na WI-FI ina scan vizuri tu lakini inaishia kudispaly on and on maneno"secured,saved....authenticating....connecting..."hapo ndio mwisho wa habari hai connect na wifi wala nini!
c.c CHIEF MKWAWA na werevu wengine wanisaidie.
Natanguliza shukrani !
 
ukikaa ndani ya desired range ya wifi haimaanishi unaweza 2 ku2mia wifi nyingne ziko secured yaani ukitaka kuwa connected lazima upate password kutoka kwa muhusika,embu muombe m2 yeyote mwenye wifi akuwashie ukiwa karibu scann and connect kisha 2pe feedback,,,,,,,
 
Password naijua na hayo yanatokea pale ninapo ingiza p/word
 
Habari yenu wana jamvi kumekuwa na tatizo la wa2 kutazama video nzuri youtube na kushindwa jinsi ya kudownload kutokana 2 na cm zao kutosapot youtube downloader apps........sasa twende pamoja ha2a kwa hatua
1.lazima uwe na operamini angalau kuanzia v5 na kuendelea,na uc browser angalau kuanzia v7
2.fungua browser yako nenda sehemu imeandikwa "enter addrec andika" YouTube
3.nenda kwenye searchbox andika jina la video unayoiihitaji kisha bonyeza SEARCH....utaona list ya results bonya video unayohitaj
4.ikifunguka usiibonyeze wala kubonyeza neno WATCH THIS VIDEO...Cha kufanya tembeza kasa(kimshale) yako mpaka juu upande wa kushoto pale ulipoingiza addrec mwanzo......................................inaendelea hapa chini

huwezi kuwa serious kijana
 
Password naijua na hayo yanatokea pale ninapo ingiza p/word

jaribu ku2mia wifi apps kutoka google play labda inaweza kusaidia;pia pitia forum mbali mbali utapata suruhisho;pia ngoja 2angalie na wataalamu wengne wanasemaje juu ya swala hili.......nakusihi kuwa makini na kila technic unayopata maana nyingi ni risky
 
Thanks irritant B though it didn't solve my tatizo but your efforts are well noted'
Thanking again,
 
Za asubuhi Waungwana,
Kwa yeyote mwenye kujua free website nzuri ya kudownload music video, please nijulishe
 
Back
Top Bottom