kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Haya mtoto yupo kwenye TV anamwona bwana Ndumila kuwili amevaa sketi au amepaka wanja hapo mtoto anaweka picha gani kichwani.Kwenye shughuli nyingi za kutunzana kinamama wamewageuza mashoga kama wanawake wenzao
Hii sasa ipo kwenye sheria ya sasa ambayo ndio inaangalia zaidi hapa baada ya watu kuonekana wanafanya hivyo ila tulisahau source.Kuna umuhimu pia kutenganishwa hawa mashoga
Watomb*ji hata hamuwagusi ila waathirika wanaokazwa mana mtaani ndo wengi
Sana lo kwakweli mashoga wanyongwe tu!
Ninyi mnaopinga kuna kitu kipo nyuma yenu lazima. Unawezaje kuzungumza mambo ambayo hayapo duniani. Mwanaume kuvaa nguo za kike?Huwezi kumzuia mtu kuvaa nguo anayoitaka. Lazima uangalie kanuni za Kikatiba na Kisheria. Cc: Dkt. Gwajima D
Watu watavaa nguo wanazotaka. Hakuna sheria ya mavazi katika nchi yoyote duniani labda nchi za kifashisti za waislamu waliochanganyikiwa.
Hiyo sheria ikitungwa nitakuwa wa kwanza kwenda kuifuta haraka sana kwa sababu itakuwa ni sheria mufilisi na batili iliyo kinyume na Kanuni za Kikatiba.
Gauni nivae mie kuwashwa uwashwe weye Heheheeiyaa ππππ€£π€£π€£
Cc Lamomy
Sheria ya mavazi itungwe usichanganye mambo ya dini na tamaduni za dunia.Huwezi kumzuia mtu kuvaa nguo anayoitaka. Lazima uangalie kanuni za Kikatiba na Kisheria. Cc: Dkt. Gwajima D
Watu watavaa nguo wanazotaka. Hakuna sheria ya mavazi katika nchi yoyote duniani labda nchi za kifashisti za waislamu waliochanganyikiwa.
Hiyo sheria ikitungwa nitakuwa wa kwanza kwenda kuifuta haraka sana kwa sababu itakuwa ni sheria mufilisi na batili iliyo kinyume na Kanuni za Kikatiba.
Gauni nivae mie kuwashwa uwashwe weye Heheheeiyaa ππππ€£π€£π€£
Cc Lamomy
Kuna mambo yanahitaji tu approach chanya na si lazima adhabu kali. Inabidi tubadilishe mindset. Watu hawabadilishwi na sheria kali, bali enlightenment. Wakijitambua watabadilika na hii inahitaji elimu.Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Mheshimiwa Waziri,
Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili ni kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na wanaume. Ushoga ni changamoto kubwa katika jamii yetu, na ni jukumu letu kuhakikisha tunalinda maadili na utamaduni wetu.
Pendekezo la Sheria Kali
Ninapendekeza kutungwa kwa sheria kali ambazo zitaelekeza yafuatayo:
1. Kuzuia Mavazi ya Kike Kuvaliwa na Wanaume:
- Sheria itakayozuia wanaume kuvaa mavazi ya kike hadharani.
- Adhabu kali kwa wanaume watakaokiuka sheria hii, ikijumuisha faini na kifungo.
- Kuweka kifungu maalum kinachotambua kwamba mashoga wengi hutambuliwa kwa mwonekano wa mavazi.
2. Kuwajibisha Wasanii na Watu Maarufu:
- Sheria kali dhidi ya wasanii wa muziki na filamu ambao wanachangia kuharibu maadili ya jamii yetu kwa kuvaa mavazi ya kike, hereni za kike, na kuigiza kama wanawake.
- Adhabu kali kwa wasanii na watu maarufu wanaokiuka sheria hizi, ikijumuisha kufungiwa shughuli zao na kutozwa faini kubwa.
Mheshimiwa Waziri, kutunga sheria kali kama hizi ni hatua muhimu katika kulinda maadili na utamaduni wetu. Kupitia sheria hizi, tutaweza kupunguza matendo yanayoashiria ushoga na kurejesha maadili mema katika jamii yetu. Ni muhimu kuchukua hatua hizi sasa ili kulinda vizazi vijavyo na kuhakikisha kuwa tunadumisha utamaduni wetu safi na wenye heshima.
Asante kwa kunisikiliza, na naomba maoni yangu yazingatiwe katika hotuba yako ya bajeti inayokuja.
Mavazi ni tamaduni za jamii husika.Huwezi kumzuia mtu kuvaa nguo anayoitaka. Lazima uangalie kanuni za Kikatiba na Kisheria. Cc: Dkt. Gwajima D
Watu watavaa nguo wanazotaka. Hakuna sheria ya mavazi katika nchi yoyote duniani labda nchi za kifashisti za waislamu waliochanganyikiwa.
Hiyo sheria ikitungwa nitakuwa wa kwanza kwenda kuifuta haraka sana kwa sababu itakuwa ni sheria mufilisi na batili iliyo kinyume na Kanuni za Kikatiba.
Gauni nivae mie kuwashwa uwashwe weye Heheheeiyaa ππππ€£π€£π€£
Cc Lamomy
Ukiona mtu anapenda zile sherehe ujue ana tatizo.Kwenye shughuli nyingi za kutunzana kinamama wamewageuza mashoga kama wanawake wenzao
Naamini utakuwa na urafiki na Kibatala, maana kwa comment hii duuu,..kuna mtu mkubwa serikalini anatuhumiwa kuwa ni msagaji. Shida inaanzia hapo.
Kwani kwasasa unatumia mbinu gani kumtambua shoga?Hivyo sio vyanzo vya ushoga na haitakuwa msaada katika hiyo vita.
Ukitaka kupambana na ushoga tazama aina za familia za sasa. Kwanza hizi za single mothers, halafu zile ambazo baba huwa hayupo nyumbani muda mwingi.
Watoto wa kiume ile kitu huwa ina waathiri sana.
Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Mheshimiwa Waziri,
Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili ni kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na wanaume. Ushoga ni changamoto kubwa katika jamii yetu, na ni jukumu letu kuhakikisha tunalinda maadili na utamaduni wetu.
Pendekezo la Sheria Kali
Ninapendekeza kutungwa kwa sheria kali ambazo zitaelekeza yafuatayo:
1. Kuzuia Mavazi ya Kike Kuvaliwa na Wanaume:
- Sheria itakayozuia wanaume kuvaa mavazi ya kike hadharani.
- Adhabu kali kwa wanaume watakaokiuka sheria hii, ikijumuisha faini na kifungo.
- Kuweka kifungu maalum kinachotambua kwamba mashoga wengi hutambuliwa kwa mwonekano wa mavazi.
2. Kuwajibisha Wasanii na Watu Maarufu:
- Sheria kali dhidi ya wasanii wa muziki na filamu ambao wanachangia kuharibu maadili ya jamii yetu kwa kuvaa mavazi ya kike, hereni za kike, na kuigiza kama wanawake.
- Adhabu kali kwa wasanii na watu maarufu wanaokiuka sheria hizi, ikijumuisha kufungiwa shughuli zao na kutozwa faini kubwa.
Mheshimiwa Waziri, kutunga sheria kali kama hizi ni hatua muhimu katika kulinda maadili na utamaduni wetu. Kupitia sheria hizi, tutaweza kupunguza matendo yanayoashiria ushoga na kurejesha maadili mema katika jamii yetu. Ni muhimu kuchukua hatua hizi sasa ili kulinda vizazi vijavyo na kuhakikisha kuwa tunadumisha utamaduni wetu safi na wenye heshima.
Asante kwa kunisikiliza, na naomba maoni yangu yazingatiwe katika hotuba yako ya bajeti inayokuja.
Hakunaga hiyo sheria.Sheria ya mavazi itungwe
Hapo chacha wizo ake πππHuwezi kumzuia mtu kuvaa nguo anayoitaka. Lazima uangalie kanuni za Kikatiba na Kisheria. Cc: Dkt. Gwajima D