Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Sio tu chumbani sio stoo, bali sio museum! Asante kwa kutukumbusha.
Unafanya kazi za internal decor mkuu? Ungetufahamisha huenda huduma ikahitajika.
OK, umetoa somo zuri! shukrani za dhati kwako mkuu! endelea kutukumbusha na mengine yenye faida kama hili.
This is a "super" class! Jf is more than a Social University. Thanks YM, keep it up!
lazima leo shem akute chumba kimebadilika...
Mi nalalaga ubungo stand.
na watu tuache kujenga vyumba vidogo utadhani duka, yani mtu sebule kubwa lakini chumba cha kulala kinatosha kitanda tu na ikizidi kabati, chumba kina msongamano wa vitu kama duka. somo zuri i like it mana chumbani ndo ugonjwa wangu.
Nimeipenda na nimejifunza sana..
Thnx,umenisaidia mno.be blecd
Hapana sifanyi kazi za internal decorarion. Ila nina huo ujuzi cuz my mom and my dad walikuwa wakifanya kazi hiyo for fun ingawa walikuwa na kazi nyingine nzuri za kufanya. So most of the time nilikuwa nao nikijifunza
kwa vumbi la kwetu mwakalobe siwez kwa kweli.
shukrani kaka
Mada nzuri sana, thx. Ila umeiacha hoi hapo kwenye madera na tshirt za kulalia!