Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Of course kwa sasa nyumba haitaji uwe na mazagazaga mengi ndani yapasa uwe na nafasi ya kutosha...furniture nzuri na kisasa binafsi nmependa kwa nyumba ya kisasa pia...
 
Mtu akiwa na hela za kutosha kununua vitu kama hivyo na amejenga nyumba ndogo apimwe akili
Tambua maisha hubadilika,pia hakuna ajuaye kesho yake na ndiyo maana tunaanzia kwanza kupanga Nyumba za wenzetu na mwisho tunajenga zetu
 
Sawa mkuu ila ajitahidi kukuza nyumba badala ya kubanana kwenye nyumba ndogo hivyo
Nyumba zenye mazagazaga mengi zinachosha akili, zinaua vipaji asee.
Unakuta nyumba imejaa mazaga alafu ya kila rangi, hakika unaweza kuchanganyikiwa au kuwa na hasira zisizo na sababu.
 
Mtu akiwa na hela za kutosha kununua vitu kama hivyo na amejenga nyumba ndogo apimwe akili
Watu wa negativity ni small minded persons, hata kama rangi ni nyekundu watasema ni black.
Ngoja nikuulize swali; Mtu anaanza kununua vitu vya ndani (furnitures) au anaanza kujenga Nyumba kwanza?
 
[emoji3] sio kila mtu anapenda Hekalu. mimi ni miongoni mwa watu ambao napenda kuishi kwenye vyumba vi3 tu ... halafu napenda kama hivo kitanda kina drw nyingi zinazofanya unasave space.
Wewe upo kama mimi napenda simple tu lkn inakua classic plus ukiwa msafi unaweza jisahsu kama upo duniani
 
Back
Top Bottom