Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Hahaaaa.. U killed it [emoji2]Vyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka sana maana chumba changu kama chako sema mi bodaboda sinahayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo watanzania wengi tunaishi store utakuta ndoo za maji sufuria mwiko jiko la mchina
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaTatizo watanzania wengi tunaishi store utakuta ndoo za maji sufuria mwiko jiko la mchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau na Kopo la kujolea usiku...hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Na lile kopo la kukojolea usiku umesahau....si huwa unaogopa kutoka nje eti...??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka sana maana chumba changu kama chako sema mi bodaboda sina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wengine kukojoa chumani ni uvivu....kama mimi binafsi choo ni cha ndani ila ninalala na kopo la kukojolea...Na lile kopo la kukojolea usiku umesahau....si huwa unaogopa kutoka nje eti...??
Hahaaa nishampoa mkuumbushuu kwanza pole sana halafu huyu zomboko ni mkristo kwa hiyo panga lake na nondo ni YESU