Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka sana maana chumba changu kama chako sema mi bodaboda sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom