Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
UMESAHAU MKUU.
Hicho sio chumba tu, ni sebule pia, STORE pia, jiko pia na mengine mengi
 
hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maisha ya huku sweken hasa sehem nying za dari salama
 
Hii ndio rangi ya bedroom yangu...wengi wananishangaa kwa hii rangi!

54c15e3a12cf2_-_rating-and-design-interiors-modern-transitional-bedroom-xln.jpg
 
Kuna ambao wanaona wanaona nisawa ila asilimia kubwa ya ambao nafahamiana nao wanaona sio sawa TV kuwepo chumbani
Nami nakubaliana na wewe, si sawa TV Chumbani,Kuvuta usingizi Bible au kitabu chochote kinafaa.
 
Nice decor..aisee shuka la yellow likipangiliwa vizuri linavutia mno!! nitalitafuta
 
Back
Top Bottom