Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

Asante sana mkuu kwa kuni tag sacha nipitie pole pole sasa nipate kujifunza asante sana sana mkuu.
 
Tapeli na mwongo. Tafuta kazi ya kufanya wewe. Ungekuwa unalipwa $7500 wa mwezi usingekuwa humu na ushuzi wako saa hizi.
Mkuu ni vyema ungekuwa na busara kidogo sijaona popote uongo au utapeli wa mleta mada. Labda kama wewe umeweza kuuona unaweza kutufungua macho. Lakini mleta mada ameongea ukweli mtupu na ndivyo dunia inavyoenda kwasasa
 
Mpuuzie tu huyo. Kwenye jumuia kubwa kama hii ya JamiiForums hawakosekani watu waliovurugwa
 
vp sisi tusio na fani yoyote ile lakini lugha tunajitahidi inapanda. binafsi ni form four tu. unskilled labour likely is my target. ninabeba tofali ishanichosha hii kazi hakuna future na nguvu ndio mtaji.
 
Ushauri wangu in that case inabidi ujifunze skill mkuu. Kama lugha inapanda, tafuta vi skills kadhaa ambavyo unaweza kujifunza kama YOUTUBE, Coursera kisha uwe nazo hizo skills... Vitu kama graphic design, video editing hivi unaweza jifunza wewe mwenyewe bila kusoma chuo chochote kile, ni usmart wako tu pamoja na bundle lako. Ukishajifunza hizo, ni rahisi kupata kazi za remote, maana kuna kazi nyingi tu mfano za graphic design unaweza fanya.
Another option, kwa vile umesema lugha inapanda kuna website za kazi ndogo ndogo ambazo hazihitaji ujuzi sana kama vile Translation, Transcription, data entry.
Mifano ya hizo website ni:

Babu Njunju
 
Ahsante sana mkuu. Umenipa insight pa kuanzia.
 
Mkuu ni vyema ungekuwa na busara kidogo sijaona popote uongo au utapeli wa mleta mada. Labda kama wewe umeweza kuuona unaweza kutufungua macho. Lakini mleta mada ameongea ukweli mtupu na ndivyo dunia inavyoenda kwasasa
Yaani nimeshangaa sana.
 
Uko vzr umeandika vzr Sasa HV nimejiajiri Ila Kuna NGO moja nafatilia kazi nione ka.ma itanipa kazi
 
Hongera San San mkuu Hadi kutumia muda wako mzuri uwatonye vijna wetu hakika ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…