Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Bado hujanielewa. Haswa nikisema classified employee. Yaaani uwe na kazi kwanza ndio options za remote utapata.Tunabadilishana mawazo na uzoefu tu mkuu, kwa nia ya kutanuana mawazo, sio ubishani mkuu wangu!!
Nimekuelewa kuhusu kazi za Glassdoor za remote, kuwa hadi lazima uwe na vibali vya ku work USA, right?
Sasa hapa target ni zile kazi ambazo unaweza fanya remote ukiwa poppte duniani, sio lazima uwe USA, na wala sio lazima uwe na work permit ya USA mkuu. Mfano ni mimi mwenyewe, nafanya kazi remote na organization HQ yao iko USA, ila miminnafabyia huku huku bongo na wala sina vibali vya kuwork in USA. Hizo links nilizo share hapo kwenye my first post zina kazi nyingi za hivyo mkuu tofauti na za Glassdoor ambazo hadi uwe classified as employee in the USA!!
Karibu utufungue macho zaidi mkuu kama kuna kitu hatuelewi kuhusu kazi za Glassdoor!
Chance ndoto
Classified hata form six au huyo binti wa linkedin uliyemtuma anaweza kuwa kwenye hiyo category. Pata kazi then mengine yanafta.(blue collar) classified.