Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
UmepoteaUmepotea au nimepotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmepoteaUmepotea au nimepotea
Zipo job listings nyingi tu za kukuwezesha ku work from anywhere in the world, tena kwenye issues za data ndo zimejaa kibao.Data gani umesomea hadi ulipwe $7500 kwa mwezi bila ya uthibitisho au ushahidi wowote? Tuwekee mfano wa kazi ya "data" unayodai ambayo mtu analipwa $7500 kwa mwezi kwa kufanya kazi remotely, ambapo Mwajiriwa yupo Africa na Mwajiri yupo USA au hata Mwajiriwa na Mwajiri wote wapo USA penyewe, na Mwajiriwa anatakiwa kwenda ofisini kila siku huko USA. Weka angalau mfano wa hiyo job listing.
Job sites nilizoweka hazijulikani au sema hivi, 'Mimi sizijui'. Kubali kuwa kuna vitu huvijui na unahitaji kujifunza zaidi; Hizo ni sites ambazo ni very common all over the world brother, zinajulikana kwa wale ambao they look for such opportunities.Kati ya watu wote milioni 300 wanaoishi USA, Mwajiri akulipe wewe $7500 kwa mwezi kwa kazi ya "Data" ukiwa Bongo Africa ilhali kutwa upo humu Jamiiforums? Hizo job sites ulizoweka hazijulikani. Nadhani unataka kuwapiga watu kupitia gia ya hizo job sites feki.
Asante sana mkuu.Uzi Mzuri sana.
Binafsi niliwahi kufanya miaka ya nyuma kupitia 'upwork' nilipata kwenye startup fulani ipo USA.
Naomba utoe ujizi wako kwenye hizi changamoto kwa hizi 'freelance work'
1. Changamoto ya malipo iliyopo kwa nchi yetu tz na PayPal na mifumo mingine ya malipo eg. Direct transfer kwenye upande wa makato[transfer fees]
2. Kazi nyingi huwa ni za muda mfupi [ nini huwa unafanya katika hili?]
3. Kwa watanzania ninaona shida yetu kubwa kwenye hili sio kuwa competent kwenye ujizi usika bali ni kwenye matumizi ya supporting tools e.g ms office tools sanasana kwenye excel na PowerPoint na email kwa wachache sana[ tafdhali toa maoni katika hili]
4. Lugha [ hapa naomba utoe ushauri mwingi sana maana kwa mtazamo wangu ndio kiini cha hizi kazi]
Visa nakila kitu. Unafika marekani kwa 8.5 plus maisha yako ya awali hata mpaka unapata kazi.iyo 8.5m inakufikishaje marekani?
Haya tutaongeaUsikate tamaa. Unajua na mimi pia nimesomea kutibu watu (udaktari) kama wewe? Ila baada ya kuona kuvaa makoti wodini hakuleti pesa nyingi, ikabidi niwe mjanja kidogo nikachepukia kwenye issues za data, na ndizo zinazonipa hizi $$ kwa sasa mkuu.
Baba Swalehe
Hiyo visa inapatikana kirahisi hivyo,kwanza ni visa ya aina gani ni visitor visa au?,kama ni mchongo mwingine sio kujilipua nijulishe tafadhali,umri wa kujilipua ulishapita nataka vitu vilivyonyooka.Vis
Visa nakila kitu. Unafika marekani kwa 8.5 plus maisha yako ya awali hata mpaka unapata kazi.
Unataka safari? Sema. Don't beat around the bush. Unataka kazi marekani? Sema tujitahidi upite kwa uhakika. Alafu hizo kauli visa sio rahisi toeni. Visa is a process kama process zingine, zifate upate. Mnavyosema sio rahisi watu wasingeenda nje.Hiyo visa inapatikana kirahisi hivyo,kwanza ni visa ya aina gani ni visitor visa au?,kama ni mchongo mwingine sio kujilipua nijulishe tafadhali,umri wa kujilipua ulishapita nataka vitu vilivyonyooka.
Yes nataka kazi, experience ni medical attendant/assistant nurseUnataka safari? Sema. Don't beat around the bush. Unataka kazi marekani? Sema tujitahidi upite kwa uhakika. Alafu hizo kauli visa sio rahisi toeni. Visa is a process kama process zingine, zifate upate. Mnavyosema sio rahisi watu wasingeenda nje.
Weka ushahidi wa angalau fani gani unayodai unalipwa $7500 kwa mwezi ukiwa umekaa kwenye kochi lako Tanzania wakati Mwajiri yupo USA. Weka mfano wa tangazo la kaiz kwenye husika lenye mshahara kama huo.Job sites nilizoweka hazijulikani au sema hivi, 'Mimi sizijui'. Kubali kuwa kuna vitu huvijui na unahitaji kujifunza zaidi; Hizo ni sites ambazo ni very common all over the world brother, zinajulikana kwa wale ambao they look for such opportunities.
Well, zilifanyika 5 rounds of interviews, na nikapatikana mimi, kama huamini hilo, ni sawa pia, sio lazima uamini.
Hakuna job site fake yoyote hapo niliyoweka, hizo ni well known platforms globally, na hakuna sehemu nimesema mtu anifuate PM kwa chochote kile, watu wanauliza kila kitu hapa na nawajibu. Wale wenye interest na nguvu wanapitia hizo platform na kuona kama kuna cha kuwafaa, hakuna utapeli wowote hapo wala yeyote anaetaka kupigwa.
Kampuni ya kitapeliZipo job listings nyingi tu za kukuwezesha ku work from anywhere in the world, tena kwenye issues za data ndo zimejaa kibao.
Kama kitu hujui ni heri kuuliza kuliko ku attack na kushutumu. Take your time kujifunza zaidi.
View attachment 2892151
Hit my pm boss.Yes nataka kazi, experience ni medical attendant/assistant nurse
Kampuni ya kitapeli
Weka ushahidi wa angalau fani gani unayodai unalipwa $7500 kwa mwezi ukiwa umekaa kwenye kochi lako Tanzania wakati Mwajiri yupo USA. Weka mfano wa tangazo la kaiz kwenye husika lenye mshahara kama huo.
Great, you are already 5 steps ahead!Haya tutaongea
Learned python and java script
Nyie labda iwasaidie kwenye kuangalia namna ya kuboresha zaidi ujasiliamali wenu na kutanua soko....na sisi wajasiriamali upepo wetu umekaaje uko kwenye remote,mfano mkulima,mfugaji,muuza mitumba..n.k
The Lastdream Cheki hii attachment mwenzako huyu anafanya kwenye tourism sector, tour guide kama wewe angalia anavyopost LinkdeIn.Mkuu Linkedln ni mtandao professional tu kwa ajili ya watu wenye elimu kubwa.
Unaweza kuweka kama ni tour guide na kazi zingine? Au ni zile proffesional kubwa?