Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

Data gani umesomea hadi ulipwe $7500 kwa mwezi bila ya uthibitisho au ushahidi wowote? Tuwekee mfano wa kazi ya "data" unayodai ambayo mtu analipwa $7500 kwa mwezi kwa kufanya kazi remotely, ambapo Mwajiriwa yupo Africa na Mwajiri yupo USA au hata Mwajiriwa na Mwajiri wote wapo USA penyewe, na Mwajiriwa anatakiwa kwenda ofisini kila siku huko USA. Weka angalau mfano wa hiyo job listing.
Zipo job listings nyingi tu za kukuwezesha ku work from anywhere in the world, tena kwenye issues za data ndo zimejaa kibao.
Kama kitu hujui ni heri kuuliza kuliko ku attack na kushutumu. Take your time kujifunza zaidi.
Screenshot_2024-02-02-20-31-24-665_com.android.chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-02-20-29-28-071_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-02-02-20-29-28-071_com.android.chrome.jpg
    213 KB · Views: 33
  • Screenshot_2024-02-02-20-36-01-504_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-02-02-20-36-01-504_com.android.chrome.jpg
    159.4 KB · Views: 42
Kati ya watu wote milioni 300 wanaoishi USA, Mwajiri akulipe wewe $7500 kwa mwezi kwa kazi ya "Data" ukiwa Bongo Africa ilhali kutwa upo humu Jamiiforums? Hizo job sites ulizoweka hazijulikani. Nadhani unataka kuwapiga watu kupitia gia ya hizo job sites feki.
Job sites nilizoweka hazijulikani au sema hivi, 'Mimi sizijui'. Kubali kuwa kuna vitu huvijui na unahitaji kujifunza zaidi; Hizo ni sites ambazo ni very common all over the world brother, zinajulikana kwa wale ambao they look for such opportunities.
Well, zilifanyika 5 rounds of interviews, na nikapatikana mimi, kama huamini hilo, ni sawa pia, sio lazima uamini.
Hakuna job site fake yoyote hapo niliyoweka, hizo ni well known platforms globally, na hakuna sehemu nimesema mtu anifuate PM kwa chochote kile, watu wanauliza kila kitu hapa na nawajibu. Wale wenye interest na nguvu wanapitia hizo platform na kuona kama kuna cha kuwafaa, hakuna utapeli wowote hapo wala yeyote anaetaka kupigwa.
 
Uzi Mzuri sana.
Binafsi niliwahi kufanya miaka ya nyuma kupitia 'upwork' nilipata kwenye startup fulani ipo USA.
Naomba utoe ujizi wako kwenye hizi changamoto kwa hizi 'freelance work'
1. Changamoto ya malipo iliyopo kwa nchi yetu tz na PayPal na mifumo mingine ya malipo eg. Direct transfer kwenye upande wa makato[transfer fees]
2. Kazi nyingi huwa ni za muda mfupi [ nini huwa unafanya katika hili?]
3. Kwa watanzania ninaona shida yetu kubwa kwenye hili sio kuwa competent kwenye ujizi usika bali ni kwenye matumizi ya supporting tools e.g ms office tools sanasana kwenye excel na PowerPoint na email kwa wachache sana[ tafdhali toa maoni katika hili]
4. Lugha [ hapa naomba utoe ushauri mwingi sana maana kwa mtazamo wangu ndio kiini cha hizi kazi]
Asante sana mkuu.
Majibu yako kama ulivyouliza:
1. Kuhusu malipo mimi natumia USD account ya bongo, kwa sababu payment yangu ni monthly, kazi ninayofanya sio za freelancer za short term kama za upwork, bali ni contract kabisa wamenipa for a year, so one of the things nimefanya ni kuwapa my bank details, natumia bank ya bongo hapa hapa, ila ni USD account.
2. Kama nilivyosema hapo juu, hii kazi niliyopata ni contract wamenipa 1 year, sio kama za upwork za muda mfupi hizo mkuu.
3. Ni kweli, ndio maana pia kama target yako ni hizi kazi inabidi uwe fiti sana katima tools ambazo zinatumika unapo work remotely, kama hizo Teams, Slack, etc. Hiyo ni muhimu sana, na wakati wa interviews wana assess pia uwezo wako katika kutumia hizi tools.
4. Lugha na yenyewe bwana muhimu sana, hii itakusaidia sana wakati wa interviews, maana interviews ni za Kingereza na wanaoku interview ni native speakers wa kingereza, so kwa kweli inabidi uwe vizuri usibabaike kwenye lugha, maana pia unashindana na watu ambao kingereza ni lugha yao mama. Hapo hakuna shortcut, ni kujifunza tu kui master lugha ya kingereza!
 
Usikate tamaa. Unajua na mimi pia nimesomea kutibu watu (udaktari) kama wewe? Ila baada ya kuona kuvaa makoti wodini hakuleti pesa nyingi, ikabidi niwe mjanja kidogo nikachepukia kwenye issues za data, na ndizo zinazonipa hizi $$ kwa sasa mkuu.
Baba Swalehe
Haya tutaongea
Learned python and java script
 
Vis

Visa nakila kitu. Unafika marekani kwa 8.5 plus maisha yako ya awali hata mpaka unapata kazi.
Hiyo visa inapatikana kirahisi hivyo,kwanza ni visa ya aina gani ni visitor visa au?,kama ni mchongo mwingine sio kujilipua nijulishe tafadhali,umri wa kujilipua ulishapita nataka vitu vilivyonyooka.
 
Hiyo visa inapatikana kirahisi hivyo,kwanza ni visa ya aina gani ni visitor visa au?,kama ni mchongo mwingine sio kujilipua nijulishe tafadhali,umri wa kujilipua ulishapita nataka vitu vilivyonyooka.
Unataka safari? Sema. Don't beat around the bush. Unataka kazi marekani? Sema tujitahidi upite kwa uhakika. Alafu hizo kauli visa sio rahisi toeni. Visa is a process kama process zingine, zifate upate. Mnavyosema sio rahisi watu wasingeenda nje.
 
Yes nataka kazi, experience ni medical attendant/assistant nurse
 
Job sites nilizoweka hazijulikani au sema hivi, 'Mimi sizijui'. Kubali kuwa kuna vitu huvijui na unahitaji kujifunza zaidi; Hizo ni sites ambazo ni very common all over the world brother, zinajulikana kwa wale ambao they look for such opportunities.
Well, zilifanyika 5 rounds of interviews, na nikapatikana mimi, kama huamini hilo, ni sawa pia, sio lazima uamini.
Hakuna job site fake yoyote hapo niliyoweka, hizo ni well known platforms globally, na hakuna sehemu nimesema mtu anifuate PM kwa chochote kile, watu wanauliza kila kitu hapa na nawajibu. Wale wenye interest na nguvu wanapitia hizo platform na kuona kama kuna cha kuwafaa, hakuna utapeli wowote hapo wala yeyote anaetaka kupigwa.
Weka ushahidi wa angalau fani gani unayodai unalipwa $7500 kwa mwezi ukiwa umekaa kwenye kochi lako Tanzania wakati Mwajiri yupo USA. Weka mfano wa tangazo la kaiz kwenye husika lenye mshahara kama huo.
 
  • IMG_20240204_231913.jpg
    IMG_20240204_231913.jpg
    184 KB · Views: 48
....na sisi wajasiriamali upepo wetu umekaaje uko kwenye remote,mfano mkulima,mfugaji,muuza mitumba..n.k
Nyie labda iwasaidie kwenye kuangalia namna ya kuboresha zaidi ujasiliamali wenu na kutanua soko
 
Mkuu Linkedln ni mtandao professional tu kwa ajili ya watu wenye elimu kubwa.
Unaweza kuweka kama ni tour guide na kazi zingine? Au ni zile proffesional kubwa?
The Lastdream Cheki hii attachment mwenzako huyu anafanya kwenye tourism sector, tour guide kama wewe angalia anavyopost LinkdeIn.
 
Attachments

  • IMG_20240205_140831.jpg
    IMG_20240205_140831.jpg
    225.5 KB · Views: 28
Back
Top Bottom