Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

Huo mtandao nilijiunga ila nikajitambulisha kama driver napokea e-mail nyingi tu za kupata kazi ya udereva, shida ni 1 niliingia kwenye biashara nikaona pananilipa kuliko kuanza kupangiwa muda wangu

Vijana wengi kwa Tanzania lugha ya kiingereza inawakwamisha sehemu kubwa.
Ila ule mtandao ni mzuri sana kwa connection.
 
Kwamba unakuwa dereva remotely !!!! ????

Anyway sitaki kukatisha watu tamaa lakini fanya due diligence ya maana top sites zinajulikana ndio hizo kina fiver, and the likes nyingine nyingi za micro-jobs ni more of a hassle than its worth..., Anyway dunia ishakuwa kijiji kama una skills which are needed somewhere ni rahisi ku-communicate ingawa unapofungua dirisha kuingiza hewa fahamu kwamba na takataka nyingi zinaingia... So be Careful all that gritters is not Gold...
 
Asante kwa ushuhuda mkuu!
 
Angalizo zuri sana mkuu, asante.
Ila pia haya mambo yalivyo, the more you are good at it the easier you can recognize scammers. Yaani kwa level niliyofikia, na recognize scammers haraka sana; Very easy.
 
Mfano huyu anayeongelea anataka kazi remote alafu zinakuja kazi za udereva.., Huoni hapo next step ni kuombwa pesa za kukamilisha Viza na Work Permit au Safari ya kwenda US for interview
 
mtu ambae hayupo kwenye tech industry hawezi kuijua andela
 
Mfano huyu anayeongelea anataka kazi remote alafu zinakuja kazi za udereva.., Huoni hapo next step ni kuombwa pesa za kukamilisha Viza na Work Permit au Safari ya kwenda US for interview
Mimi nimeelewa kuwa alijiunga LinkedIn, na amekua akipata e mail requests za possible positions for driver (not remote), coz LinkedIn ina recruiters wa sekta nyingi, not remote only. Ila kama ni driver position halafu remote, then most likely you are right, could be just scammers.
 
bro please drop ur number!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…