Jinsi ya kupata marafiki wa kizungu

Jinsi ya kupata marafiki wa kizungu

Marafiki hupatikana katika mzunguko wako wa kila siku na maisha yako kwa ujumla.

Hauwezi ishi Tandale ukawa na rafiki anae kaa Masaki.

Wa tandale wa tandale masaki masaki,ili upate wa Masaki wewe mwana tandale lazima uende tandale

either kibiashara/michezo/au kufata huduma tofauti za maisha yetu kila siku.

Kwa wazungu/na watu wasio race yako ji mix nao connect nao.

hiyo ni physicaly kama unataka ile socialy(mitandaoni) basi jiunge na mitandao ambayo hutukut ngozi nyeusi sana.

Humu JF hamna mzungu usitegemee uwe rafiki angu tukija kutana ntakua mzungu.

Jiunge mitandao yao chati huko koment taniana nao utapata tu mtae bond mtakua marafiki.

NOTE/KUMBUKA : Urafiki hauombwi,Urafiki huja Automaticaly.
 
haya huwa ni mawazo ya jobless alie fika kiwango cha mwisho kabsa cha matumaini ..nenda pale ubalozi wa US Huwa wana gawa chai na mikate asubh
 
Sehemu ya haja itakuwa inakuwasha wewe sio bure
Sio wazungu wote wanaikubali hiyo, nna marafiki wazungu wa aina nyingi hadi mashoga na ma bi ila wengine wanakwambia kwenye jamii yao hawakubaliki kabisa ni vile tu wamejikuta
 
Back
Top Bottom