Marafiki hupatikana katika mzunguko wako wa kila siku na maisha yako kwa ujumla.
Hauwezi ishi Tandale ukawa na rafiki anae kaa Masaki.
Wa tandale wa tandale masaki masaki,ili upate wa Masaki wewe mwana tandale lazima uende tandale
either kibiashara/michezo/au kufata huduma tofauti za maisha yetu kila siku.
Kwa wazungu/na watu wasio race yako ji mix nao connect nao.
hiyo ni physicaly kama unataka ile socialy(mitandaoni) basi jiunge na mitandao ambayo hutukut ngozi nyeusi sana.
Humu JF hamna mzungu usitegemee uwe rafiki angu tukija kutana ntakua mzungu.
Jiunge mitandao yao chati huko koment taniana nao utapata tu mtae bond mtakua marafiki.
NOTE/KUMBUKA : Urafiki hauombwi,Urafiki huja Automaticaly.