Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajisikia sana wewe.....vizuri Kwa sasa Mimi bado mwanafunzi wa chuo kikuu,Ila Nimeweka UTT AMIS kiasi cha milioni Tatu,na ninaendelea kuuliza,my goal, nifikishe hata Milioni sita miaka miwili ijayo ili nianze bussiness officially!,as side hustle huwa naagiza bidhaa mbalimbali kupitia AliExpress nakuziuza,Sana Sana huwa na watches,bila Shaka umenipata Kaka!
Shida nyinyi ndo mibdset zenu ziko uko mbona kawaida kwa sasa mwanafunzi first year ana saving ya 3m, 2m ambayo iko out of any expenses huyo ni alikua anajishuhilisha kabla na kubana matumizi as maybe yuko kwao simple shida nini mkuu watu wa jf mna chosha.Dogo wacha story za uongo
Chuo unachanzo gani cha mapato mpaka kufanya saving ya 3m?
Huna matumizi mengine?
Unaijua million 3 weweShida nyinyi ndo mibdset zenu ziko uko mbona kawaida kwa sasa mwanafunzi first year ana saving ya 3m, 2m ambayo iko out of any expenses huyo ni alikua anajishuhilisha kabla na kubana matumizi as maybe yuko kwao simple shida nini mkuu watu wa jf mna chosha.
Sio kila mtu anategemea boom people start college while they're making moneyUnaijua million 3 wewe
Chuo matumizi yake unayajua? Kula, kunywa, kuvaa, kulala, usafiri, simu, vocha, stationery na mambo mengine mengi
Au siku hizi mnapewa boom 20k Mimi sijui
Duuh wejamaa umeamua kuwa mpumbavu inabidi tukuache na upumba wako kweli wasomi wetu ni baadh Yao ni pumba sasa hapo unaona cha ajabu nini mi nimesoma na watu mpo advance wap wanamiradi hom wengine wamefuga kuku,wengine mashambaa kuanzia hapo nikaamka nakuacha kujiona mtt sasa ww kama ulikuwa upo chuo upo upo tuu jamaa yupo tofaut Hilo boga lako[emoji706]Unaijua million 3 wewe
Chuo matumizi yake unayajua? Kula, kunywa, kuvaa, kulala, usafiri, simu, vocha, stationery na mambo mengine mengi
Au siku hizi mnapewa boom 20k Mimi sijui
Apo penyewe unatumia infinix tuache kwanza 😂Na ukishajua kakusanya kiasi gan itakusaidia nn wewe, acha ushamba bhna [emoji706]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mwambie kwanza milioni 3 nayo hela? Duh 🙄😆Duuh wejamaa umeamua kuwa mpumbavu inabidi tukuache na upumba wako kweli wasomi wetu ni baadh Yao ni pumba sasa hapo unaona cha ajabu nini mi nimesoma na watu mpo advance wap wanamiradi hom wengine wamefuga kuku,wengine mashambaa kuanzia hapo nikaamka nakuacha kujiona mtt sasa ww kama ulikuwa upo chuo upo upo tuu jamaa yupo tofaut Hilo boga lako[emoji706]