Jinsi ya kupata mtoto mwenye jinsia ya kike

Jinsi ya kupata mtoto mwenye jinsia ya kike

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,189
Reaction score
1,217
Scientific Prove Ya uwepo wa Hii issue haipo Lakini kutokana na studies za Chromosomes na sperms its possible pia kuna watu wanasema wameshafanikiwa kuchagua Jinsia za wanao,Anyway Mzigo uko Ivii

1.KUBADILI DIET(Changing diet)
Kwenye thread Ya vagina PH nlisema kuwa Vagina ni Acidic Ila Sperms ni Basic In nature Ulaji wa acidic food unaadhiri sperms especially Ile Y chromosome sperm ambayo imecarry men xtics Lakini X chromosome iliobeba Women xtics inaweza survive harsh conditions ivo kuchangia kupata mtoto wa kike
Example za foods ni Beef,rice,chicken n.k

2.KUACHANA NA STYLE KUNTU(deep penetration)
Style nzito nzito kama Doggy Ivi zinampa mwanaume advantage ya kumwaga sperms karibu na Cervix hivo kuepuka Vagina acidic enviroment(ambayo inaweza kuadhiri Y sperm chromosome zaidi kuliko X sperm Chromosome),Jaribu Missionary style!

3.MWANAMKE USIFIKE KILELENI(orgasm)
Orgasm Inasababisha contraction ambayo inafanya Cervix Ishuke towards the vagina IVo mwanaume akimwaga Y chromosome sperms zina spidi balaa zinawahi kabisa,Ivo X chromosome sperms zinabak kwaio kama unataka mtoto wa Kile no Orgasm!!!

4.KUFANYA NGO KABLA YA OVULATION!
Hapa ni siku 2 kabla au 3 maana sperms zinaweza kusurvive kwa masaa 72 ndani ya uke,since X chromosome ndo zmezoea shida na Kuhimili mazingira Magumu sana Ivo zinachelewa kufa ukicompare na Y chromosome sperms ambazo ni Legelege zinakufa mapema hence said ukujamiana huo muda kabla Ya period Y sperm chromosomes zitakia zimekufa nyingi Ivo uwezekano wa kupata Mtoto wa Kike ni Mkubwa.

5.MUME AVAE NGUO ZA KUBANA KWA MUDA
Mapumbu Yananing'inia nje Ya mwili kwasabu Joto linalohitajika kutengeneza sperms ni dogo kuliko lile la Mwili,ukivaa Nguo za kubana(boxer) unaongeza Joto ivo Kuyapasha hatimae unaadhiri zile sperms..ukitaka mtoto wa kike mwanaume anatakiwa apashe mapumbu kwa muda(masaa kadhaa) akiwa anajiandaa kuja kukupa Mimba ILI azimalize nguvu Ya kukimbia Y chromosome sperms ambazo zina Mbio sana Ukilinganisha na X chromosomes ILI zikiingia kule ushindani upungue X ndo zikafana Fertilization!
 
" 4.KUFANYA NGO KABLA YA PERIOD!
Hapa ni siku 3 kabla au 4 maana sperms zinaweza kusurvive kwa masaa 72 ndani ya uke,since X chromosome ndo zmezoea shida sana zinachelewa kufa ukicompare na Y chromosome sperms Ivo uwezekano wa kupata Mtoto wa Kike ni Mkubwa."

???
 
Speak ur mind Please
 
Asante kwa somo ni nzur ila pia nasubir somo la kupata baby boy,ingawa kipengere namba 4 ,5 cjavielewa vizurii
 
Asante kwa somo ni nzur ila pia nasubir somo la kupata baby boy,ingawa kipengere namba 4 ,5 cjavielewa vizurii
Baby boy wa kazi gani?.....Bay boy wanakuja kuwa mabingwa wa kupiga punyeto,mashoga,majambazi,wanakuja kuwa cheater wa mapenzi,walevi,wanakuja kutembea na watoto wao wa kike e.t.c![emoji30] [emoji30] [emoji30]........mtoa mada nakushukuru kwa kutoa maelezo juu ya watoto wa kike pekee![emoji1]
 
Makubwaa hayaa
 
..Mkuu Hata Baby Girls wana changamoto zao vile vile,mtoto ni Kile unachoInvest Kwake
 
Vipi kama utakutana na mwenzi wako siku moja kabla ya period yake, kuna uwezekano wa kushika mimba?
 
Back
Top Bottom