Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,369
Hb wa Ilala asante sana kwa somo, inachukua mda gani kujua jinsia ya mtoto kwa ultrasound kwa mama mjamzito?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasha Pasha Pasha.....ni muda sasa wa kupasha korodani au pumbuz
Hivi ni period au ovulation?Vipi kama utakutana na mwenzi wako siku moja kabla ya period yake, kuna uwezekano wa kushika mimba?
Ovulation mkuuHivi ni period au ovulation?
Sasa ukitaka bby boi si Unafanya vice-versa ya bby girl mkuuAsante kwa somo ni nzur ila pia nasubir somo la kupata baby boy,ingawa kipengere namba 4 ,5 cjavielewa vizurii
haiwezi kutokea kiufupi akiidhamaliza siku 17 baada ya period hawezi ila kea taadhari tunaongeza diku 3 jumla 20 hapa hata upande mlima kilimanjaro mimba hawezi kupataVipi kama utakutana na mwenzi wako siku moja kabla ya period yake, kuna uwezekano wa kushika mimba?