Jinsi ya kupata ujumbe na simu za mtu mwingine

Jinsi ya kupata ujumbe na simu za mtu mwingine

Unataka upokee sms na call za mtu mwingine za nini?????
Wakikuelekeza nunua na jeneza kabisa, usije kuwapa sida wengine kununua

hakuna geneza kwa issue kama hiy but my intention ni kutaka kujua tu,
 
Yaani siku nikijua kuna limtu linafanya udukuzi kwenye mawasiliano yangu.
Walah namfungulia mashtaka.
 
wajanja wanaweka application za kuzuia ku....spy....iwa......na kama ni mjanja humpati ata kidogo mkuu
 
kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
Inawezekana kupata kimagumashi, but itakucost hela nyingi mno. Infact, hakuna anaeruhusiwa kuzitoa siri za mtu mwingine za kimawasiliano. Labda polisi pekee, tena kwa sababu maalum za kiusalama na kiupelelezi
 
Mambo mengine kujipa pressure tu ndio maana watanzania wengi hatuwazi mambo ya maendeleo sasa mkuu ukishajua alafu iweje bora ungeuliza maswala mengine.
Nimaoni yangu tu
 
Mambo mengine kujipa pressure tu ndio maana watanzania wengi hatuwazi mambo ya maendeleo sasa mkuu ukishajua alafu iweje bora ungeuliza maswala mengine.
Nimaoni yangu tu

tatiz hujui n ilikuw sio lazima uandike chochot, kwa hiy wew kaa pembeni kwanz
 
Inawezekana ukiwa na cmu za ios ukanunue app inayoitwa hello spy ila itakulazimu utulie sana wakati wakufanya setting ukibugi itakula kwako
 
Mbona hii kitu ilishawekwa hapa jf kitambo.
Wewe search tu hapo juu utapata hiyo mada na mtoa mada alitoa App mbili anbazi ni za bure ila kama lengo ni kimspy mkeo au mpenzi wako mmmnh.
 
Badala ya kukaa na kuanza kufuatilia watu(mtu) mkuu mduirwa kwa nini kama huna nia mbaya, ukamwomba muhusika akupatie simu yake ukaangalia kilichopo? Kupeleleza simu ya mtu siyo vizuri, kisheria, kiungwana, na hata kimaadili..
Soma vitabu na majarida kuongeza ujuzi mkuu wangu@mduirwa
 
Last edited by a moderator:
Zipo codes za kufanya hayo
-call diverting &
-sms diverting na mambo mengine....
Na pia za ku-deactivate zipo
 
kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
Hii mada ilishazungumziw sana humu jukwaan..
Nxt time jitahid kusearch mkuu kabla ya kuanzisha nyuz mpya..mana sidhan kama ni busara kurudia rudia vitu ambavyo vilishazungumziwa..
 
App ipo lakin ni lazima u install virus kwa victim anaejulikana kama remote administration tool(RAT) ili uweze kupata details kama hizo
 
Back
Top Bottom