nanabecka64
Member
- Jul 9, 2018
- 25
- 25
Intellijensia.
Angalia documentaries za mauaji historia, ujasusi andaa notice zipangilie njoo tuandikie. Unaweza kwenda mbali kwa kusoma vitabu na maandiko ya watu waliofanyia utafiti wa kina mambo hayo.
MapenzI
Kuwa mtunzi mzuri wa matukio. Soma story za mapenzi jivike uhusika jitwalie utukufu jf.
Siasa.
Hata kama sio ccm au chadema. Chagua upande kama utani. Ponda sana upande mmoja, ikiwezekana weka avatar ya chama hicho. Mwezi mwingi utakuwa umekwisha jitwalia utukufu na sifa zitakazosindikizwa na matusi kemkem. Ila kuwa makini kuna baadhi ya upande unaweza kujikuta adui wa kitaifa.
Unaweza kuongeza na zako.
ID moja CCM. ID moja CHADEMA. Ziwe zinatukananaNa wale wenye id mbili mbili
HahahhaID moja CCM. ID moja CHADEMA. Ziwe zinatukanana
Nipo.Siasa faiza aliweza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umemaliza...Shoga kuna watu wanapambana na umaarufu wa JF,.hahhaah id fekelo jina fekelo afu unataka umaarufu,.akujue nani???mfyuuuuuu watu tukishalog out tunayasahau yooooote,labda kidooogo kungekuwa na tuzo tena za kutambulika hata kiwilaya tuu,.
Mbna we ni maarufu kama mimiShoga kuna watu wanapambana na umaarufu wa JF,.hahhaah id fekelo jina fekelo afu unataka umaarufu,.akujue nani???mfyuuuuuu watu tukishalog out tunayasahau yooooote,labda kidooogo kungekuwa na tuzo tena za kutambulika hata kiwilaya tuu,.
Namfahamu vyema baba Vick,.ndio huyu pia sayantisti,.
maarufu sana weweNamfahamu vyema baba Vick,.ndio huyu pia sayantisti,.
Mm confessor nna umaarufu gani humu eti??
[emoji28]Mm confessor nna umaarufu gani humu eti??
Hamko makini,.umeagiza nyama lakini macho yote yako kwenye utumbo na maini,.[emoji28]
Nauza bagiya , hivi kwa nini sisi wakina baba tukienda kununua nyama tunaibiwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata maini naibiwa mkuu [emoji51]Hamko makini,.umeagiza nyama lakini macho yote yako kwenye utumbo na maini,.
Formula ni hiyohiyo,.hata ukinunua nyanya"