Jinsi ya kupata umaarufu mapema JF

Jinsi ya kupata umaarufu mapema JF

Aiseee kila mtu ana mawazo yake,nilijua umaarufu nje ya JF ili upewe bia za bure na mapedejheee.
 
Anza kuleta shobo za kuwaita ita wadada famous wa jf...
 
Hahahah achana na tuzo hata tuhela tu kidogo yaan tukishalog out tunasahau kama kuna kitu kinaitwa jf
Ukitaka umaarufu wa haraka jf date na kimwana maarufu humu halafu uwe unawaida sweetheart kisha weka cc mfano
Shunie
Neybright
Mbitiyanza
Sky eclat
[emoji125] [emoji125]
 
Ukitaka umaarufu wa haraka jf date na kimwana maarufu humu halafu uwe unawaida sweetheart kisha weka cc mfano
Shunie
Neybright
Mbitiyanza
Sky eclat
[emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hayo mambo ya kuitana baby halaf kipapa analala nacho mtu mwingine ndio yamenishinda toka enzi za mkapa
 
Back
Top Bottom