Jinsi ya kupata umaarufu mapema JF

Jinsi ya kupata umaarufu mapema JF

Intellijensia.
Angalia documentaries za mauaji historia, ujasusi andaa notice zipangilie njoo tuandikie. Unaweza kwenda mbali kwa kusoma vitabu na maandiko ya watu waliofanyia utafiti wa kina mambo hayo.

MapenzI
Kuwa mtunzi mzuri wa matukio. Soma story za mapenzi jivike uhusika jitwalie utukufu jf.

Siasa.
Hata kama sio ccm au chadema. Chagua upande kama utani. Ponda sana upande mmoja, ikiwezekana weka avatar ya chama hicho. Mwezi mwingi utakuwa umekwisha jitwalia utukufu na sifa zitakazosindikizwa na matusi kemkem. Ila kuwa makini kuna baadhi ya upande unaweza kujikuta adui wa kitaifa.

Unaweza kuongeza na zako.

uo umaarufu una faida gani?
 
Huo muda sasa! Niache mambo ya maana ni concentrate na kutafuta notice kwaajili ya umaarufu jf.

Sidhani kama nahitaji umaarufu zaidi ya hapa.
 
Sure umesaidia sana raia mkuu kuna mbuzi zinataka sana ustaa jf hazijui pakutokea haaa haa
 
Back
Top Bottom