Naomba nipewe njia sahihi ya namna ya kupata watoto mapacha.
duh, hiyo hatariMpe mimba mkeo afu hahikikisha zile miezi 4 ya mwanzo hasa wa kwanza na pili anakura sana soyabeans utajionea matwins matata tena identical...
Ukitaka kupata watoto Mapacha kula kwa wingi Viazi vitamu utapata watoto Mapacha.Naomba nipewe njia sahihi ya namna ya kupata watoto mapacha.
Watatu wanaitwa Triplets na wanne ni quadrupletshivi mapacha ni wakiwa wawili tu au hata zaidi(yaani watatu,wanne)kama laa je wakiwa watatu wanaitwaje na wanne pia
Na wawili si twins,wataje uliowataja kwa kiswahili utakuwa umesaidia zaidi piaWatatu wanaitwa Triplets na wanne ni quadruplets
Mkuu Mie ni twin,, na hadi sasa nitatafuta mapacha kwa nguvu ila tayari Nina watoto wawili...... Napenda sana mapacha he una uhakika na dawa hiyo?...katafute dawa inaitwa clomiphene, hii ina induce ovulation hivyo kufanya yai zaidi ya moja kutolewa ndani ya mwezi husika...so probability ya twins, triplets, quadruplets...inaongezeka! Bottom line nenda fertility clinics hapo DSM sijui iko mikocheni kule..
Nenda kwa daktari akupe fertility tablets, wanao tumia huwa wanapata double double.
Njia ya kwenda jukwaa la wakubwa imefumgwa.Samahani naulizia njia ya kwenda jukwa la wakubwa!