muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
Following
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe mimba mkeo afu hahikikisha zile miezi 4 ya mwanzo hasa wa kwanza na pili anakura sana soyabeans utajionea matwins matata tena identical...
Mmmh.....
kuna sindano unachomwa ili yai lililorutubishwa kugawanyika zaid ya mara moja,cjui hapa tz ni wapi hii sindano inapatikana wataalam wa afya watusaidieNaomba nipewe njia sahihi ya namna ya kupata watoto mapacha.
Inatokea, haipangwi hii! Wengine wanaamini ni genetical! Lakini nachojua ni kuwa, ovaries zote za mwanamke zikitoa mayai kwa wakati mmoja (mara nyingi huwa zinapokezana kutoa yai), kuna probability kubwa ya kuwa fertilized yote na mwanamke atapata fraternal twins. Lakini yai moja likiwa fertilized, na katika hatua ya kugawanyika kwa seli likatengana mwanamke atapata Identical twins (wanatokana na yai moja lililogawanyika).
Yai lisipogawanyika mpaka mwisho (Incomplete differentiation) ndo waazaliwa watoto walioungana katika points tofauti tofauti. Kumbuka mapacha sio lazima wawe wawili, yai linaweza kugawanyika hata mara nyingi na mwanamke akazaa either triplets, quadraples etc ... Hii tunaita multiple births.
Kama nilivyosema awali, ni ngumu kupanga kupata mapacha japokuwa wengine wanaamini inarithishwa kwa njia ya vina saba. Nina wadogo zangu wa kike mapacha (wako chuo kwa sasa).
Wenzangu wataongezea!
mkuu nipe number zao nidhibitishe maneno yako!!!! (jok)
...katafute dawa inaitwa clomiphene, hii ina induce ovulation hivyo kufanya yai zaidi ya moja kutolewa ndani ya mwezi husika...so probability ya twins, triplets, quadruplets...inaongezeka! Bottom line nenda fertility clinics hapo DSM sijui iko mikocheni kule..
ni kwel aumhh! mtafute mama wawili yeyote halafu nunua udongo wa pemba ule wanaokula wajawazito ila uwe ule mweupe. mwambie mkeo apeleke huo.udongo. mama wa2 ataukojolea na kisha atampa mke wako. atakua anapaka usoni kila wakati wa tendo la ndoa. ikishindikana nitafute. mimi pia ni mama wawili. hiyo ni traditional method. kama huna imani basi.