Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida

Inabidi mwanamke awe anaenda hedhi mara mbili kwa mwezi
 
Inatokea, haipangwi hii! Wengine wanaamini ni genetical! Lakini nachojua ni kuwa, ovaries zote za mwanamke zikitoa mayai kwa wakati mmoja (mara nyingi huwa zinapokezana kutoa yai), kuna probability kubwa ya kuwa fertilized yote na mwanamke atapata fraternal twins. Lakini yai moja likiwa fertilized, na katika hatua ya kugawanyika kwa seli likatengana mwanamke atapata Identical twins (wanatokana na yai moja lililogawanyika).

Yai lisipogawanyika mpaka mwisho (Incomplete differentiation) ndo waazaliwa watoto walioungana katika points tofauti tofauti. Kumbuka mapacha sio lazima wawe wawili, yai linaweza kugawanyika hata mara nyingi na mwanamke akazaa either triplets, quadraples etc ... Hii tunaita multiple births.

Kama nilivyosema awali, ni ngumu kupanga kupata mapacha japokuwa wengine wanaamini inarithishwa kwa njia ya vina saba. Nina wadogo zangu wa kike mapacha (wako chuo kwa sasa).

Wenzangu wataongezea!
 
Hakikisha kila baada ya mgegedo mkeo unamwacha kitandani akiwa naked na amelala chali.
 
mkuu nipe number zao nidhibitishe maneno yako!!!! (jok)
 
Hahahahaaaa majibu Mengine yanakatisha tamaa😹😹😹😹😹😹
 
Wakat mwingine inakua if ndani ya familia yenu wapo twins inaweza tokea ILA nahisi n kupangiwa na Allah tu
 
Kuna kitu kinanishangaza kidogo, mastaa wa movies+music huko Marekani asilimia kubwa siku hizi wanapata watoto mapacha sana,sijui ni nini wanakifanya mpk inakua hivyo
 
...katafute dawa inaitwa clomiphene, hii ina induce ovulation hivyo kufanya yai zaidi ya moja kutolewa ndani ya mwezi husika...so probability ya twins, triplets, quadruplets...inaongezeka! Bottom line nenda fertility clinics hapo DSM sijui iko mikocheni kule..
 
vip haina madhara hiyo dawa mkuu?? Natamani sana mapacha
 
mhh! mtafute mama wawili yeyote halafu nunua udongo wa pemba ule wanaokula wajawazito ila uwe ule mweupe. mwambie mkeo apeleke huo.udongo. mama wa2 ataukojolea na kisha atampa mke wako. atakua anapaka usoni kila wakati wa tendo la ndoa. ikishindikana nitafute. mimi pia ni mama wawili. hiyo ni traditional method. kama huna imani basi.
ni kwel au
 
watafute madakitari wa wanawake hapa utajikuta unagawa kitumbua na mapacha usiwapate
 
Back
Top Bottom