Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Mchele special au huu huu wa Morogoro?
 
Watia jikoni kwa muda gani?

Wali watia rangi mbili zipi rafiki?

Hizo rangi rangia WATIA toka wapi na ni rangi gani?

Ila hizo mchanganyiko kupata si mchezo...

Nielekeze nipike muda huu rafiki.
Kumbe ndio maana umeniambia kuhusu biryan😂😂😂
 
Kitunguu maji wakaanga halafu wachanganya 'kwenye mchuzi wako". Huko kote nimeweza ila hapo kwenye mchuzi wako ndipo nimekwama, nimeshindwa kuupata.
 
Ok,nimeelewa ni rangi zenye taste.

Wait nikatafute rangi,

Hazina lugha nyingine?
1.binzari nyembamba
2.Abdala sinni

Kutopata hizi naona sitokamilisha biryan,nitapika vitu za ajabu.
Halafu acha maswali we juha, hizo rangi waweza tia collar paint au kiboko.
Hizo ni rangi nzuri na Zina ujazo mkubwa😆🤓
 
Acheni kuchanganya changanya mavitu alafu mnakula. Wazee wetu walikua wanakula mizizi na nyama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…