Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Za kumimina huwa hazipendwi na wengi kama za kusukuma. Ila ndio shughuli yake sio mchezo[emoji134]
Hizo hata sijawahi fuatilia upishi wake maana sizipendi ila nikipewa nakula
 
Pole sana jamani dada!!
Sasa mimi bora kupika chapati kuliko ugali
Haaa best UGALI tena njoo nikufundishe shemela hata juta kukuwowa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ugali najua dear, sema sipendi ile kukoroga uji, halafu unasubiri mpaka uive, usonge tena weeee halafu usubirie uive huku ukisonga kila baada ya muda kadhaa!! Naonaga napoteza muda mimi jamani!!
 
Chapati kitu gani si unamnunulia kitabu cha mapishi anajifundisha mkuu?
Mimi wa kike mkuu, ahsante kwa ushauri nitajinunulia kitabu mwenyewe! btw, don't take this things so serious..!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ugali najua dear, sema sipendi ile kukoroga uji, halafu unasubiri mpaka uive, usonge tena weeee halafu usubirie uive huku ukisonga kila baada ya muda kadhaa!! Naonaga napoteza muda mimi jamani!!
Hapo kwenye kusubilia ndipo penyewe ila unga wa mhongo ndiyo hauna muda wakusubil [emoji23]
 
Back
Top Bottom