Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

sijawahi kupika chapati ikawa laini nakwama wapi?
Huwa naweka unga kwenye bakuli
Natia pinch ya sukari
Natia mafuta ya moto,nachanganyachanganya mpaka yale madonge yapotee
Natia maji ya moto,nakanda linakuwa donge kubwa halafu nalifunika,baada ya nusu saa nakata madonge na kumalizia hizo process lkn chapati haiwi LAINI, msaada tafadhali nakwama wapi?
Nalog offHu
Ukipigwa nayo usoni lazima upasuke na nundu juu haaà haaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli,kupika chapati,mandazi na vitu vya ngano ni mtihani mgumu sana

Juzi jumamosi nilisema nijaribu kupikia chapati nyumbani nikakandia maziwa,blueband nimeweka lakini chapati zilivyotokea sasa!!!nikaamini kupika chapati is not my thing
Pole sana kwahiyo zikatoka vipi sasa[emoji23]
 
Nilipanga zikitokea vizuri nizipige picha nipost kwa status kule WhatsApp lakini kilichotokea ni aibu tupu [emoji16]

Hizo za kumimina sijajaribu kuzipika lakini nilishakula mara kadhaa hazikunivutia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanikumbusha nilimwachia mdada apike ile narudi naomba chai kila mtu hana mbavu ni mawe tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Si ajabu hata kuzisukumu tu zilitoka zina mapembe.
Nacheka maana umenikumbusha niliwahi pikiwa chapati hizo kau kau halafu + zina mapembe. Hazieleweki nyingine pembe tatu, nyingine imekaa trapezium
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii kitu si wote wanaiwezaga. Sijui ndio kuna ile dhana labda mkono na mkono wa mtu mwingine zinamkataa tu labda.
Yawezekana wakati wakuchanganya unga na mafuta vizuri pia mafuta lazima yawe ya moto moto kiasi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku hiyo nimerudi shule nakuta bibie kanipikia chapati. Daah ilibidi nile tu kumtia moyo. Maana mtu kajitoa kwa ajili yako halafu zikushinde angejisikia vibaya.
Aise mie lazima ningecheka tu kumwerekeza lakini unafiki siwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom