Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Nilipanga zikitokea vizuri nizipige picha nipost kwa status kule WhatsApp lakini kilichotokea ni aibu tupu [emoji16]

Hizo za kumimina sijajaribu kuzipika lakini nilishakula mara kadhaa hazikunivutia
Za kumimina huwa hazipendwi na wengi kama za kusukuma. Ila ndio shughuli yake sio mchezo[emoji134]
 
Nilisukuma vizuri zilikuwa round bila kona kona
Tatizo ni ule ugumu asa sijui nilikosea wapi akati nilikua naweka katika hotpot
Tatizo linaanzia kwenye ukandaji, then wakati wa kuzipika Moto usiwe mdogo Sana.
 
Nitakuja unifundishe mwenza
Njoo mwenza, hata mimi zilinisumbua Sana. Alikuja kunifundisha msichana wetu wa kazi, alifanyaga kazi kwa wahindi. Alikuwa anapika chapati yule binti acha kabisa, sijawahi kula chapati tamu Kama zile tena.
 
Ahahahah daaah Chapati mi lazima nijifunze tu na nizipike tu hamna jinsi.Wanawake wenye kutwa kwenye wanja bora nijifunze mie.
 
Njoo mwenza, hata mimi zilinisumbua Sana. Alikuja kunifundisha msichana wetu wa kazi, alifanyaga kazi kwa wahindi. Alikuwa anapika chapati yule binti acha kabisa, sijawahi kula chapati tamu Kama zile tena.
Yaani ninahangaika kujua kupika chapati mimi khaaa, sijawahi kupata mwalimu mzuri
 
Back
Top Bottom