Jinsi ya kupika Kabichi la nyama

Jinsi ya kupika Kabichi la nyama

Aisee mimi ni mlevi wa kabichi,santeee kwa hili somo
Nalog off
 
Hii mboga ni tamu sana, napenda kuipika kwa ugali...pia unaweza kuweka maini badala ya nyama....
 
nimelitamani lazima nipike hii kitu nionje utamu wake lol!
 
Back
Top Bottom