Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Pole Mkuu.
Kuna siku nilikuwa napata chakula ni kaomba Mboga ya Majani wakaleta hiyo KITU daaah ikabadi nimwambie nahitaji Mboga ya KIJANI
Jaribu kuuliza faida za mboga ya kabichi sio unakichukia tu kitu
Sina haja ya kujua faida yake mkuu nitapata kwenye msosi mwingine lakini siyo kabichi.
 
Safi mwache atambe tyu
 
Watu wengi wenye vitambi mavi nikiwauliza kuhusu ulaji wa Cabbage wanaanza kuikashifu. Nikiwapa lesson kamilifu kuihusu wanaapa kuanza kuila mara moja.

Ugali Kibakuli, Kabeji Sahani!
Mara tatu kwa wiki, leta mrejesho baada ya mwezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…