Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Pole Mkuu.
Kuna siku nilikuwa napata chakula ni kaomba Mboga ya Majani wakaleta hiyo KITU daaah ikabadi nimwambie nahitaji Mboga ya KIJANI
Jaribu kuuliza faida za mboga ya kabichi sio unakichukia tu kitu
Sina haja ya kujua faida yake mkuu nitapata kwenye msosi mwingine lakini siyo kabichi.
 
daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.

Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.

maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi

wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??

ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko

This Time Tomorrow
Safi mwache atambe tyu
 
Watu wengi wenye vitambi mavi nikiwauliza kuhusu ulaji wa Cabbage wanaanza kuikashifu. Nikiwapa lesson kamilifu kuihusu wanaapa kuanza kuila mara moja.

Ugali Kibakuli, Kabeji Sahani!
Mara tatu kwa wiki, leta mrejesho baada ya mwezi!
 
Back
Top Bottom