Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mboga ndo hiyo tu una kula ili tusife njaa,Malizia mkuu tunakula ili tusife njaa.
Pole Mkuu.
Kuna siku nilikuwa napata chakula ni kaomba Mboga ya Majani wakaleta hiyo KITU daaah ikabadi nimwambie nahitaji Mboga ya KIJANI
Sina haja ya kujua faida yake mkuu nitapata kwenye msosi mwingine lakini siyo kabichi.Jaribu kuuliza faida za mboga ya kabichi sio unakichukia tu kitu
Nimeona kawaida tu, Mi nakula chochote, isipokuwa vilivyoharamishwaVipi uliuonaje mlo wako mkuu?
Safi mwache atambe tyudaaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.
Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.
maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi
wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??
ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko
This Time Tomorrow
Hujui lupins wwMkuu sina mazoea ya kula kwa mama ntilie ata kama nimebanwa na kazi gheto nina jiko ,sufuria na vifaa vyote vya kufanikisha kupika kile ninachoitaji kula kwa siku husika.
😂😂😂😂siku nyingi sijasikia hili jina!Mboga ni Kimoro tu .
Nyingine hamna kitu