Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

UGARI gani? Au ugali. Ugari unatokana na gari na ugali unatokana na unga. Sasa sijui unazungumzia kipi.
 
Hata pilau likiandaliwa na asiyejua kuandaa. Lazima uje hapa utushawishi tusile pilau. Ninyime nyama, nipe kabichi iliyoandaliwa vyema, utakuwa umenitendea haja ya moyo wangu.
Unasemea nyama ipi mkuu mkuu yakucompare na kula ugali na kabichi?
 
ndiyo mkuu changanya hivyo viungo halafu ichemshe usiweke maji inakua poa au ukichanganya ns samaki au maharage inakua poa sana
Mi nataka yenyewe tu bila kuchanganya dagaa wala samaki Alafu iliwe na ugali.
 
Sioni haja ya mtu mwenye familia ndogo au yupo peke yake kula hii mboga labda utengeneze kachumbari.

Hii mboga inafaa zile nuclear family ambazo mboga zingine hazitoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…