Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Sasa mkuu hivi vitisho vya nini??hivi unakula ili ushibe au unakula unachokipenda??me wakati niko mdogo nilikuwa nakula ili nishibe.

Maana sometimes kinapikwa chakula ila hukipendi,sasa point ni kuwa kama mfuko unaruhusu kula unachopenda tu,siku huna kula chochote ili ushibe.

Me mwenyewe hiyo mboga siikubali,na sikumbuki last time nikula lini.
 
Bora wewe umesema mkuu.
 
Sioni haja ya mtu mwenye familia ndogo au yupo peke yake kula hii mboga labda utengeneze kachumbari.

Hii mboga inafaa zile nuclear family ambazo mboga zingine hazitoshi.
Kwako unaionaje mkuu ?
 
Sioni haja ya mtu mwenye familia ndogo au yupo peke yake kula hii mboga labda utengeneze kachumbari.

Hii mboga inafaa zile nuclear family ambazo mboga zingine hazitoshi.
Kwako unaionaje mkuu ?
 
Unakula hivyo kwakuwa huna mpunga,ila unamtamani huyo kuku
Maskini tunaongoza kwa kujifariji alafu tunaogopa kusema ile kweli kwa sababu tu ya maisha yanayotuzunguka.
 
Pamoja na kuwa mama alichanganya nyama na kebichi ili mboga iwe nyingi mimi ninachanganya nikikumbukia maisha ya utoto
Unachanganya kukumbuka maisha ya utoto ila hauchanganyi kwa utamu wa mboga hiyo.
 
Unatukana mboga yetu ya nyumbani, mi kwangu wali kabichi, ugali kabichi, mkate kabichi, chai kabichi, hadi hapa naandika nakula kabichi sasa mkuu unaonaje km tukipiga kabichi
 
Maskini tunaongoza kwa kujifariji alafu tunaogopa kusema ile kweli kwa sababu tu ya maisha yanayotuzunguka.
Mkuu huyo anaongea tu,me nakumbuka niko home si unajua mambo ya home huwezi kuamua,utakachokuta unakula tu.

Sasa saizi najitegemea pesa za kula zipo,alafu kweli Nile ugali na chumvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…