Jinsi ya kupika makande

Hivi
Yamewaokoa wengi... Yamewakuza wengi... Sasa hivi una shibe usiyabeze right now kuna mtu anatafuta apate walau vijiko viwili vya hayo makande hapatichakula ni ibada usikibeze
Hivi wewe mshana ni mpare? Kuna Uzi niliuona 2014 mtu alisema wewe ni msambaa
 
kuna binti moja alipita k/koo ya miaka hiyo akiwa amevaa kimini, kuna jamaa pembeni yangu nilisikia anasema huyo dada anauchi kama kabichi. Tokea siku hiyo niliacha kula hiyo mboga.
 
Siipend hiyo mboga
 
Ila makande matam bhn, hasa yaweke Nazi, tangawz, hoho, karoti, mazw...loooh ataaa sichomokiiii [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kwangu Mimi Makande ndo chakula kibovu kuliko vyote, ni chakula ambacho skipend maishani mwangu na nakichukia Sana hata kukiona tuu, kuna mboga inaitwa kisamvu hyo ndo mboga mbovu Sana kwangu , huwa nahsi kama nakula kinyesi, mboga hyo huwa sitak hata kukiona ....
 
This made my day[emoji7]
 
Lol,
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Watakua wapare ndo waligundua hii kitu , kwa ajili ya kubana matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…