Jinsi ya kupika ndizi nyama za nazi

Nimeangalia hizi picha,njaa imeanza kuniuma ghafla...
 
Shoga yangu nisamehe nilikuja kusombwa na shoga yangu muda WA vicoba hata sikuivisha nikamuachia dada jikoni huko.nikarudi usiku na sufuria washaosha ahaaa
Iyo inaitwa ubaya ubwela πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndizi nyama....
Namba moja kwenye orodha ya vyakula vyangu pendwaπŸ˜‹
 
Nanunua vikontena tu navisambaza. Kimoja kwako, kingine kwa Evelyn Salt kingine kwa Makiwendo yaani nabakia na kazi ya kupasha tu.
Yaani utaenjoy sana
Ungekaa karibu na kwangu nimekwambia uviache kwangu kumi maana npikaga naanza kuita jirani tuje kula nisingepat tabu kabisa
 
Yaani utaenjoy sana
Ungekaa karibu na kwangu nimekwambia uviache kwangu kumi maana npikaga naanza kuita jirani tuje kula nisingepat tabu kabisa
Uko wapi? Niko tayari kuhamia karibu na weweπŸ€—πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…