Jinsi ya kupika pilau la samaki

Jinsi ya kupika pilau la samaki

Bimkubwa wangu anakichafuaga na Jodari...mi nampenda Sansuri ila anapatikana Tanga tu. Kuna bi mdashi mmoja ye anakichafuaga cha Pilau la ngisi...na ukila, weeeee huchomoki.
Sijawahi jaribu na ngisi navowapenda Sasa hiv jodari yupoje jamni mm nikienda buchani nakutaga Hawa vibua weus ila ni wakubwa nashindwa kuelewa ndio jodari au
 
Back
Top Bottom