Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #21
Sijawahi jaribu na ngisi navowapenda Sasa hiv jodari yupoje jamni mm nikienda buchani nakutaga Hawa vibua weus ila ni wakubwa nashindwa kuelewa ndio jodari auBimkubwa wangu anakichafuaga na Jodari...mi nampenda Sansuri ila anapatikana Tanga tu. Kuna bi mdashi mmoja ye anakichafuaga cha Pilau la ngisi...na ukila, weeeee huchomoki.