Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wow nimevitiwa na jibu lako, samahani lakini huyo kwenye avarat yako ni wewe?😊😜Najitafuta 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow nimevitiwa na jibu lako, samahani lakini huyo kwenye avarat yako ni wewe?😊😜Najitafuta 😅
Sawa nitajitahidiUzi wako mzuri ila mapishi yako yanaendana na uzoefu kwa ulivyoandika hapo juu,vipimo ni muhimu sana kwa dunia ya sasa,tui la nazi kiasi hiki, Maji lita abc,ngano robo/nusu/kilo hii itamsaidia asiefahamu kabisa aweze fanya,vitumbua vinapikwa sn pwani ingawa mikoani nao wanaanza kufanya biashara hii kutokana na watu kutembea
basi sawaKote kwetu 😜
AsanteKaribu sana
😊😊 Ushimen unatumia na juice ya tende kula vitumbua auVitumbua ni aina nyingine ya Chakula kinachopendwa zaidi katika maeneo mbalimbali nchini.
Vitumbua vina aina mbalimbali ya Mapishi, kuna Vitumbua vya Nazi, Mayai, Nyama na aina nyinginezo.
Vifaa vya kupikia vinapatikana Sokoni kwa Gharama nafuu inategemea na ukubwa unaoutaka.
Ni vizuri kupika nyumbani kuliko kununua, kwani usalama wake ni wa uhakika zaidi.
Ni rahisi kuandaa na kupikia pia.
Mahitaji.
Unga wa Mchele Nusu/ Kilomoja.
Unga wa Ngano Kidogo.
Tui la Nazi (Sio Lazima)
Maji ya Uvugu vugu.
Hiriki.
Sukari.
Mafuta ya Kuchomea.
Kikaangio cha Vitumbua
Jinsi ya Kuandaa.
Changanya Mchanganyiko wako Vizuri kabisa usiwe mlaini sana Wala Mzito sana.
Hakikisha kila kitu umeweka katika Vipimo sahihi ili Vitumbua vyako viwe vitamu sana.
Baada ya Kuchanganya acha Mchanganyiko wako kwa muda wa Nusu saa au Saa nzima ili uumuke vizuri. Na muda huu ni kulingana na hali ya hewa ya sehemu ulipo.
Utaweka kikaangio chako kwenye Moto hadi kipate Moto kidogo kisha weka mafuta kidogo yakichemka vizuri Chota Unga wako na kuweka kidogo kigogo.
Pika hadi Vitumbua vigeuke rangi na kuwa vya kahawia. Kisha toa kwenye kikaangio.
Vitumbua huliwa wakati wote na Chai, Soda,Juice na kahawa.
View attachment 3091000
😊😊 Unanichanganya akili yangu kabisa.. ewe mpishi mwenye pishi tamuKaribu sana
Hiyo rangi ya pishi.. imenifanya nimeona mbaaali vitu vya ndani kabisa pale kwenye triangle 📐Na nini 😜
Juice yako itapendeza zaidi 🙂🙂Juice yoyote tu
Kitumbua kitamu 😋😋😅😅😅wewe kula Vitumbua Mengine mwachie Mpishi.
Sema huwa vinakunywa mafuta, ukila vitatu unakunywa mafuta nusu lita🤣Hongera dear, vinaonyesha vitamu, pia visafi vinatamanisha kula. Binafsi napenda vitumbua ila viwe na sukari.
😄😄 Kitumbua kitamu, na kikiwa na umoto moto ndio kitamu zaidi kuliko cha baridiUnajua kitumbua kinacho zungumziwa hapa mkuu..😊