Jinsi ya Kupika Wali wa Biriani ya Kuku

Jinsi ya Kupika Wali wa Biriani ya Kuku

Mkuu kibaridi cha Arusha kimekupiga mpaka umekumbuka biriani... Ngoja waje wadau watakuelekeza wapi wanauza biriani AR.
 
hivi wanaume wa R chuga tumeaanza kuiga wanaume wa dar au tunakosea wapi jamani? siye tunatakiwa tule ugali dona, udaga knk. na si biriani.Ukitaka kujua adhari za kula biriani kwa mwanaume mwangalie mariam birian alivyojaa nyuma....je we mwanaume wa r chuga unataka kuwa na makalio makubwa na laini laini?
 
Haha umewahi ku prove wapi wanaokula wanaongezeka makalio.. hahaahaha..ntakula hata sahani mbili
 
Nenda pale mwambao restaurant siku ya ijumaa utaikuta.

Nb mwambao ile ipo opp na dar exp offices/national houses.
Mwambao pale napapata mkuu ..ngoja ntavizia ijumaa
 
Back
Top Bottom