mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Mimi mwenyewe leo nimekula biriani. Mkuu njoo zanzibar. Huwezi pita restaurent mbili moja ikawa haina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vitu viwili tofauti kabisahivi biriani ndo pilao au ni tofauti?
Haswaa. Siku kama leo vunja jungu ukipita majumbani linanukia kabisaAise huko Zanzibar si ndo penyewe mkuu..
Hili Ni swali fikirishi kabisa.Kwa wakazi wa mkoa wa Arusha ..wapi naweza kupata wali wa biriani mzuri na nyama nzuri either ya ngo'mbe au kuku.
View attachment 1089504
Wote mmepotezwa mnadhani huyo jamaa anataka wali wa kula??? really!Hauna lolote zaidi ya marangi rangi ya kutengenezea barafu wanayoyapaka. tena wanatumia mamichele ya bandia ya thailand na uarabuni yasiyokuwa na chuya, yaliyonyooka lakini hayana harufu ya mchele na ladha ni kama makande
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Arusha na biriani wapi na wapi labda uulize bangi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na maji ya mitaro.
Naam, hao hao wanalo birian mkuuShivaz?, labda kama anatafuta malaya, wapo wazuri kwa bei chee
Tofautihivi biriani ndo pilao au ni tofauti?