Tanzanite Digital Agency
Member
- Oct 19, 2020
- 75
- 238
Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....)
Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna gani unaweza kulipwa na platforms hizi.
Kama unaelewa/una idea kuhusiana na Freelancing, then unaweza ku-skip hii paragraph. Ila kama hujui anything about freelancing then, Kwa maelezo mafupi Freelancer (Mfanyakazi huru) ni mtu yoyote anayefanya kazi kwa mda mfupi au mkataba na kulipwa kulingana na service anayoitoa instantly na customer/client wake. Utofauti uliopo kati ya freelancer na mfanyakazi mwingine ni kwamba, Freelancer hahitaji muongozo wa client/boss wake na pia ana uhuru wa kufanya kazi popote pale alipo duniani kama ana internet access na kifaa cha kazi kama smartphone au computer.
Sio kila kazi inaweza kuwa freelanced hivyo baadhi ya kazi ambazo ni mifano mizuri ya freelancing ni kama Virtual assistance, copy-writers, digital marketing, wed development, translation, animation, programming na zaidi.
Unachohitaji ili uweze kulipwa na Freelancing Platforms.
Kabla ya kuwa eligble na kulipwa na hizi platforms inabidi uelewe ni namna gani payment structure yao ilivyo, Kwanza inabidi uwe registered/signed up katika hizi platform. In details nitaelezea mfano wa platform ya Fiverr.
Kwanza inabidi uwe umejisajili/sign up na account ya Fiverr as a seller, Pili inabidi uwe na account ya eitha Payoneer au Paypal au zote (Kwa Tanzania) Lakini kutokana na Paypal hairuhusu nchi kama Tanzania kupokea hela hivyo the best option available ni Payoneer.
Wakati unavyojisajili na account ya Payoneer utahitaji kuwa na Bank Account details za Tanzania. Mfano, details zako za benki ya NMB, EXim, CRDB or any. Pia utahitaji kusubmit picha ya kitambulisho chako cha utaifa au passport. Na maelezo mengine ambayo yanapatikana katika kitambulisho chako au passport, mfano mahali unaishi, uraia na kadhalika. Bila kusahau utaulizwa swift code ya benk yako - hii ni internation recognition ya benk yako wakati wa kufanya transactions kwenda kwenye acc yako ya benki. unaweza search google au kuuuliza benk yako direct.
So, Baada ya kuwa na hizo requirements zote ukacomplete the signing up process, itawachukua Payoneer siku za kazi mbili hadi saba kuku-approve na utaweza kuanza kutumia account yajo. Kumbuka - the clear details unazowapatia na wao watakuku-approve mapema iwezekanavyo. Na baada ya kuwa approved unaweza login kwenye account yako ya Fiverr, katika earnings dashboard utaona kitufe kimeandikwa connect payoneer account, ukiki-click utaweza kuconnect account yako ya fiverr na Payoneer instantly kwa kulogin hapohapo.
Jinsi unavyowezwa kulipwa na Freelancing Platforms.
Lets say, umepata kazi/order ya $50 kutoka kwa mteja/buyer in upwork au Fiverr. umefanya kazi na umei-deliver within the timeframe. Fiverr hucharge acc ya customer wako na kuihold ile pesa hadi pale customer wako atakapo confirm ameipata kazi na ameikubali. akiikubali/confirm basi ile pesa itaingia katika window ya pending clearance. Baada ya siku 14, pesa itakuwea tayari kuwa withdrawn kwenda kwenye benki account yako. Lakini recently fiverr wameleta feature ambayo customer/buyer akikubali/confirm kazi yako basi una uwezo wa kuiruhusu pesa kuingia katika window ya available for withdraw badala ya pending clearance.
Note: Fiverr, Upwork au platforms nyingine nyingi huchukua asilimia 20 ya pesa unayocharge katika service yako. lets say unatengeneza logo kwa $5, basi Fiverr huchukua $1 ($5*20%) hivyo utabaki na $4.
Baada ya pesa ya kuwa katika window ya Available for withdraw, utaona options za kuwidhraw ambazo ni Paypal, Payoneer card and Bank account. Usitumie Paypal (kwa maelezo zaidi, nimeupload video Youtube kwa maelezo zaidi). Utatumia Bank account kuwithdraw pesa yako. By default huwezi bakisha pesa yoyote Fiverr unavyo withdraw. Hivyo hela itaingia katika account yako ya Payoneer.
Kutoa Pesa From Payoneer Kwenda Benki Account yako Ya Tanzania.
Unaweza initiate withdraw kwenda account ya benk ya Tanzania kutoka Payoneer na utaipata ndani ya siku moja hadi 3 za kazi, inaweza fika hadi tano in some cases. Kumbuka unaweza kuwithdraw kiasi kiasi kuanzia $50 (hii ni sheria mpya since Octoba 2021) Na kwa kila withdraw haijalishi unawithdraw kiasi gani - Payoneer huchukua $15 kama fee ya transaction. Hivyo ni bora kuwithdrwa atleast $60 au zaidi, ambapo utapokea $45 kwenye account yako ya Benki ya Tanzania.
It's simple like that, kama utahitaji maelezo zaidi unaweza niuliza kwenye comment below au kucheck video nikiwithdraw hela kwenye my personal Fiverr account na maelezo yote niliyoelezea hapo juu kwa vitendo.
Thank you and keep Hustling! 💊💻