Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

Platform kama Fiverr, unaweza kutoa pesa kutoa pesa kupitia PayPal ya Kenya hata kama majina ya PayPal na Fiverr yametofautiana. Ila Upwork ndo huwezi kutoa pesa kabisa, wanahitaji majina ya PayPal yako yafanane na majina uliyojisajili Upwork
Njia gani sasa ni rahisi zaidi??
 
Kuna jamaa niliona Twitter ame link account yake ya PayPal Upwork then kwenye PayPal pale ka link nmb Mastercard?

Naombeni mrejesho wenu hapo
 
Ahsante kwa andiko zuri mkuu,kuna vitu gani vya msingi vitakavyokuwezesha kupata kazi mfano upwork kwasababu me niligerester kama mwaka hivi lakini sijawah kupata kazi huko
 
Sijawahi toa pesa via paypal from fiverr ila upwork na freelancer hawakubali. Upwork unawez nunua hafi conncet kwa acc ya paypal ambayo haina jna lako lakini siyo kutoa. Freelancer hata kulipia chochote hawakubali achilia mbali kutoa
Mi natumia PayPal kuwithdrawal funds zangu kutoka Fiverr ni simple tu, kikubwa uwe na PayPal ya Kenya
 
Kwa kuongezea, watuambie pia kama unaweza kulink payoneer na voda/airtel mastercard
Pia unaweza hamisha pesa toka payoneer to safaricom then to mpesa au tigopesa kwa kutumia skrill. Nimeona ni cheap na haina makato na ni instant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…