Jinsi ya kupunguza gharama ya maji ya kunywa

Jinsi ya kupunguza gharama ya maji ya kunywa

Una familia wa watu wangapi??
Maji masafi kutoka viwandani yapo tena bei nafuu mkuu mahangaiko yote ya nini??
 
Mbona kama process sana bwashee? Maji siku hizi 500 unapata lita moja, sijajua upo mkoa gani, lakini kwa hali ya hewa kama dsm kwa siku 1000-1500 unaweza kutumia kama bajeti ya maji, kuliko kufuata huo mlolongo Mara uoshe utumbo, sikui uchuje na vitambaa, mara dawa ya kutibu n.k
Anaongelea familia achana na single
 
Mwanaume kunywa maji yaliyochemshwa huo ni umama.me kipindi niko salawe shinyanga nalima mpunga nlikua nikihisi kiu naangalia jaruba lenye maji yametulia nainama nakunywa kama ngombe na wala spati shida.
 
Back
Top Bottom