Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Ushakuwa sugu wew mambo ya maumivu ya mapenz bado huyajui ama umesahau, acha wanayoyapitia wapate ushauri humu[emoji23].Huo muda wa kuwaza yaliyopita sijui mnautoa wapi.....ukishazaliwa ushazaliwa huwezi rudi tumboni mkuu
Kuna watu huwa mnajikuta mko mbali sana na hisia za kimapenzi kumbe DEEP DOWN mna chuki zinazowatawala mioyoni milele, either kwa kuachwa ama kwa kutumika sana ktk mahusiano na kuambulia patupu, hivyo mnaona hakuna maana tena ya mapenzi[emoji23].
Mapenz yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, deep down ukimpata mtu sahihi umu akakupenda na ukampenda, siku akakuzingua utarudi humu kulialia[emoji23][emoji23][emoji23].
JF bana[emoji1787]