Jinsi Ya Kupunguza Mawazo Baada Ya Kuachwa.

Huo muda wa kuwaza yaliyopita sijui mnautoa wapi.....ukishazaliwa ushazaliwa huwezi rudi tumboni mkuu
Ushakuwa sugu wew mambo ya maumivu ya mapenz bado huyajui ama umesahau, acha wanayoyapitia wapate ushauri humu[emoji23].

Kuna watu huwa mnajikuta mko mbali sana na hisia za kimapenzi kumbe DEEP DOWN mna chuki zinazowatawala mioyoni milele, either kwa kuachwa ama kwa kutumika sana ktk mahusiano na kuambulia patupu, hivyo mnaona hakuna maana tena ya mapenzi[emoji23].

Mapenz yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, deep down ukimpata mtu sahihi umu akakupenda na ukampenda, siku akakuzingua utarudi humu kulialia[emoji23][emoji23][emoji23].

JF bana[emoji1787]
 
Week inakwenda kumuanzia vibaya[emoji23][emoji23][emoji23] kwanin usimthameh tu ama muache bila kumuumiza? Hivi huwa mnaona sifa kuwaumiza wenzi wenu?[emoji23]
 
😂😂😂kumbe!?
 
Maumivu ya Kuachwa na mtu uliyempenda yanauma kuliko maelezo.

Hakuna chakula, dawa wala starehe inayoweza kuponya hayo maumivu kwa kipindi hicho kifupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…