Ocean Media
Member
- Dec 16, 2015
- 93
- 82
Nipigie nikuelekeze me nimeshafungua ni rahisi sana inashughulika na masuala ya media Ocean Media Group. 0764136922MSAADA JINSI YA KUFUNGUA KAMPUNI, itakayojishughulisha na Kazi zifuatazo. PRINTING, USAFIRISHAJI MAZAO NA UNUNUZI MAZAO.
Mkuu nikitaka uniandike MEMARTS gharama zako zikoje ?hii unaanzia wizara ya mambo ya ndani ,hatua ya kwenda brela kwa ajili ya usajili ni baada ya kupata kibali cha wizara ya mambo ya ndani,ambapo barua hiyo utaambatanisha pamoja na documents za usajili wa company
Mkuu nikitaka uniandike MEMARTS gharama zako zikoje ?
Na kama nataka kusajiri kampuni 2 kwa mpigo kama eg Mkaruka Group of companies nitahitaji MEMARTS mbili tofauti ?
Na Je, Company Limited na Limited Liability Company ni sawa ?
Kuna uzi ulishawahi kuwekwa hapa unaelezea mchakato mzima jaribu kuutafuta.Habari zenu wadau
Naomba kujua , hiv memorandum na article of association ni lazima aandae mwanasheria au yeyote anaweza aandaa ?
Naomba msaada kwa anaejua
Njoo nikuandalie kijanaMkuu nikitaka uniandike MEMARTS gharama zako zikoje ?
Na kama nataka kusajiri kampuni 2 kwa mpigo kama eg Mkaruka Group of companies nitahitaji MEMARTS mbili tofauti ?
Na Je, Company Limited na Limited Liability Company ni sawa ?
Ukuje kwangu kijana real nakuandaliaKwa anaejua napata wapi leseni ya biashara. Na Ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo Au kufuata ili nipate leseni.
AsanteHizo ni article za kisheria mkuu...si yeyote anaweza kuandaa
AsanteAnaweza kuandaa mtu yeyote lakini baada ya kukamilika inatakiwa igongwe mhuri na wakili.
Asee..ikoje hii ishuAnaweza kuandaa mtu yeyote lakini baada ya kukamilika inatakiwa igongwe mhuri na wakili.
Yeyote mwenye taaluma ya biashara au sheria mkuuYeyote mwenye uelewa anaweza kuandaa, cha msingi umpatie vifuatavyo:
1: majina ya wakurugenzi
2: Kissia cha mtaji na share ya kila mkurugenzi
3: main objective ya biashara yako
4: address
5: jina la kampuni
6: uwe na uwezo wa kumlipa mtayarishaji
Asante
leseni hutolewa ofisi za halmashauri ya wilaya husika biashara ilipo Pia Leseni nyingine hutolewa na Wizara ya viwanda na biashara.,Kwa anaejua napata wapi leseni ya biashara. Na Ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo Au kufuata ili nipate leseni.
unaweza sajili kama bisinessname ,pia kama limited company brela,hatua zingine za vibali zitaendelea kwa mamlaka husika mbali na brelaWakuu naomba mnieleze kuhusu actioneer inakuwa je na wanasajiliwa vip wakuu
unaweza sajili kama bisinessname ,pia kama limited company brela,hatua zingine za vibali zitaendelea kwa mamlaka husika mbali na brela